Hivi huyu OCD anajisikiaje huko aliko?

Hivi huyu OCD anajisikiaje huko aliko?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,362
Reaction score
289,473
Imebidi niulize ili kujua huyu OCD kama bado ni muajiliwa wa Jeshi la Polisi ama labda kishastaafu, maana kwa rekodi zangu Huyu Mpina na Lazaro Mambosasa ndio Polisi ambao rekodi zao za kutumikishwa hazijawahi kuvunjwa.

Mmoja akimtumikia Sabaya na Mwingine akimtumikia Makonda, kinyume kabisa na Viapo vyao vya kuitumikia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

JamiiForums-1996620508_512x296.jpg
 
View attachment 2544550
Naona chadema mnaweweseka. Mlifikiri maridhiano ni mama kutekeleza mawazo yenu? Kama mlifikiri hivyo mumeingia choo cha kike. Mama ni mwenyekiti wa ccm. Wenyewe wanamuangalia kwa mbaali anavyo tango na cdm 🤣😂😆
 
Atajijua mwenyewe huko aliko anatamani kuomba radhi
 
Naona chadema mnaweweseka. Mlifikiri maridhiano ni mama kutekeleza mawazo yenu? Kama mlifikiri hivyo mumeingia choo cha kike. Mama ni mwenyekiti wa ccm. Wenyewe wanamuangalia kwa mbaali anavyo tango na cdm [emoji1787][emoji23][emoji38]
Ana dance CHADEMA beat,wahafidhina hampendi.katiba inakuja soon
 
CCM ni chama cha hovyo kiliwezaje kumpitisha mwendawazimu agombee urais na kikamsaidia kuingia ikulu kwa wizi wa kura
Huna uthibitisho, muilize hata yule anayetembea na makabrasha kwenye toroli ubeligiji, hana! Mnaparamia yale ya Kina Trump marekani, ati mataga. Mfyuuuuuu!

Mengi mnalishwa na mnadhani ndiyo yaliyojiri. Kiuhalisia mlikuwa hamchaguliki, hamchaguliki sasa, na ndio maana mnakimbilia maridhiano ili mugawiwe ka sehemu ka dola! Unabisha?
 
Naona chadema mnaweweseka. Mlifikiri maridhiano ni mama kutekeleza mawazo yenu? Kama mlifikiri hivyo mumeingia choo cha kike. Mama ni mwenyekiti wa ccm. Wenyewe wanamuangalia kwa mbaali anavyo tango na cdm 🤣😂😆
Sidhani kama unajua ulichoandika!
Bora ungekaa kimya kuficha uhayawani wako!
 
Back
Top Bottom