Muda huu tarehe 10 Machi 2023, ninamuona Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam CPA Amos Makala akiongoza shughuli ya kumpongeza mama Samia kutimiza miaka 2 ya uongozi wake madarakani.
Kumpongeza Rais kwa...
Waziri Mkuu Khasim Majaliwa, baadhi ya wanaomjua, bila mamlaka ya kufokafoka kama aliyopewa na Magufuli, uongozi ni changamoto kwake. Sasa kwa awamu hii, ni mifumo ndio inatakiwa kuwa na nguvu...
Chadema inahitaji huruma kutoka kwa wananchi. Je, inastahili kuhurumiwa?
Kuhurumiwa na wanachi ili ipate wabunge na wao wapate pesa za kula na kujikimu. Ila sio kutatua kero za wananchi.
Chadema...
Dares Salaam. Baadhi ya mitambo ya kampuni binafsi ya kufua umeme (IPTL) inadaiwa kuibiwa na watu wanne akiwemo askari Polisi aliyekuwepo lindo siku ya tukio.
Mitambo hiyo iliyopo Tegeta jijini...
Vijana wa kiume na wanaume wengi wakiwa wamejiajiri kwenye bodaboda, vijana wa kike na wamejikita kutafuta mitaji ya biashara kupitia VICOBA.
VICOBA mpaka sasa vimesaidia wengi sana kutokana na...
Kipindi kirefu sana sasa sijasikia DC amemsweka mtu ndani kwa saa 24 au 48
Kipindi cha Magufuli ilikuwa ni kawaida kusikia DC kamsweka mtu ndani sababu kadhaa
DC inakuita anakuhoji akiona...
Katika harakati za kudai na kukumbusha katiba mpya suala la mgombea binafsi haliungumzwi kabisa. Si CHADEMA, ACT, CCM au chama chochote cha siasa wa kulisemea hili.
Hii ni kwa sababu wote...
Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano ataongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma. Matangazo ya moja kwa moja ya kikao hicho yatarushwa kuanzia saa 4:00 asubuhi...
Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ?
------------------
Nimechunguza kidogo kuhusu jambo hili na kiukweli nimethibitisha .
Wale wote waliojaribu kuhujumu Chadema...
Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii:
Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu.
Ni mtu anayependa mass appreciation bila hata kujali...
Hahaha ni kisa cha kufurahisa wakati huohuo kinasikitisha kwa mda huu najikita katika kufurahisa .. Watanzania wengi wetu tumekua upepo uliokosa mwelekeo kwa kifupi hatujielewi sababu kubwa ni...
Awamu ya tano hakukuwa na maridhiano lakini hatukupata shida ya umeme kama ilivyo sasa.
Awamu ya tano hakukuwa na maridhiano lakini hatukupata mfumuko wa bei kama ilivyo sasa.
Awamu ya tano...
Huu mgao wa umeme ninaoushuhudia sasa, umeturudisha miaka mingi nyuma enzi za Mkapa.
Nikienda kazini nakutana na mgao, nikirudi nyumbani inakuwa zamu ya nyumbani. Kila Jumamosi lazima wakate...
Bado mpaka sasa hazijafahamika sababu hasa za kijana mdogo kama huyu kujizolea umaarufu mkubwa namna hii kiasi cha kuwabwaga wazee kadhaa ikiwa ni pamoja na viongozi waliopo madarakani , wakiwemo...
Wasalaam wajumbe humu!
Leo hii kila jimbo ambapo CCM wamechukua form za ubunge na udiwani maeneo mengi nchini wameandamana kwenda ofisi za NEC.Lakini huyu OCD wa mji wa Mbeya sijui kaishia darasa...
Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliahidi kutatua changamoto ya ajira kwa watanzania alitoa ajira lakini pia kama tunavyojua serikali haiwezi kuajiri watanzania wote hivyo akasema ataweka...
Nafikir Tu kabla kuingia Sheikh Ali H.Mwinyi katika kiti cha Urais wa Tanganyika (Tanzania) mwishoni mwa miaka ya 80 Hali ilikua Tete kiuchumi na kisiasa watu walibanwa wakabanika kisiasa na...
Chonde chonde Ndugu zangu wa Chadema pale Ufipa st Kinondoni msiuingilie uhuru wa kuongea wa Nabii Lema
Lema aachwe aongee kile anachoamini ni vema Watawala wakakisikia
Nabii Lema ni Sauti ya...
Habari zenu..
Jarida la Forbes linalochapisha masuala makubwa Duniani,Limemtaja Rais wa Tanzania Dr.Samia kuwa Miongoni mwa wanawake 100 Wenye Ushawishi Mkubwa Duniani.
Katika toleo lake la...
Kuna watu wanaonesha kama vile maridhiano kati ya CHADEMA na CCM yaliyoasisiwa na Freeman Mbowe, na Samia Suluhu Hassan, ni upendeleo kwa CHADEMA na CHADEMA ni lazima washukuru kwa kuonewa huruma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.