Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema mageuzi yoyote makubwa ya kisiasa huanzia kwenye majiji makubwa mfano Nairobi Kenya, Kampala Uganda na Lusaka Zambia
Hivyo Chadema inatangaza kampeni maalum...
Kwanza kabisa naanza kwa kumsalimia Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan kwa heshima zote kabisa maana najua atasoma uzi huu kwani anapita humu na tupo naye.
Ni swali la moja kwa moja tu, kama...
Nadhani Diwani angepelekwa ubalozini huko Canada au mahala pengine ili kutoa smooth working condition kwa anayekuja, na itaondoa tension fulani ambako huwa kanakuwepo.
Ili ni swali ambalo linaitaji majibu au jibu kutoka kwa Mh Nape.
Je mpaka leo anaamini yakuwa sheria inayowaongoza kuwaelekeza jinsi ya kusimamia majukumu Yao Hawa majasusi wetu inaitaji...
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ninaomba usalama wa Taifa kuanzia ngazi ya wilaya, mkoa na Taifa mpeni Rais taarifa sahihi ili afanye maamuzi sahihi.
Kama nyinyi mnampa taarifa...
Kumekuwepo na propaganda ya miaka mingi kuwa CCM inajua kuandaa na kulea viongozi sio tu ndani ya nchi mpaka nchi jirani (Enzi za Mwalimu) nakumbuka hta Mhe.Polepole alisema wana master plan ya...
Kwa kila mwenye akili timamu na fikra chanya atakubaliana namimi kwamba Viongozi waliopo madarakani hufanya kazi kubwa na ngumu sana katika kuleta maendeleo na kukuza uchumi wa taifa letu.
Ni...
Waziri Mulamula amesema Serikali imepeleka maofisa wake katika nchi za Hungury na Poland ili kuratibu safari za wanafunzi waliokwisha vuka mpaka kutokea Ukraine.
Kadhalika kuna wanafunzi ambao...
Hii taasisi ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi na usalama wake kwa ujumla
Taasisi hii ikiwekwa mfukoni na watawala wanaokiuka viapo vyao, wakishirikiana na wafanyabiashara wasio waaminifu, raia...
Habari Wana jukwaa,
JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,
Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,
Ukipost chochote against...
Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe amesema wao hawatapoteza muda kuvishawishi vyama kuungana bali watawaunganisha Wananchi Katika kuyafikia malengo yao.
Mbowe amesema huu siyo Wakati wa kupoteza muda...
Kwa shangwe kubwa la wanawake wa Chadema, ni wazi kwamba wananchi wengi Wana Imani na SSH na CCM. Chuki nyingi za viongozi wa upinzani, hazijafanikiwa kukubalika na wananchi. Wananchi wakimuona...
Hii kasi ya uongozi wa CHADEMA kupongeza na kuunga mkono uongozi wa Mama tangu Taifa hadi huku mashinani, ipo kimkakati sana.
Inavyoonekana kuna namna CHADEMA wamevutiwa sana na utendaji wa Mama...
Watanzania mnatakiwa kuelewa hii kitu.
Aliyekuwa anamsapoti magifuri Kwa udharimu wake nae anatakiwa kuhajiwa.
Kumbuka yaliyotokea huko German wakati was Hitler, South Africa wakati wa apartheid...
Hello Wadau,
Naioongeza Serikali kwa kuchukua uamuzi huu utakaosaidia sana kutatua shida ya ajira na pia kuchochea vijana kujiajiri.
Tulikuwa wapi kumpata Rais kama Samia? Mungu ambariki.
====...
Barabara tajwa hapo juu ujenzi wake ulianza mwaka jana. Ambacho kimefanyika mpaka sasa ni kwamba mkandarasani amesafisha kama KM 5 na ameiacha ameshaondoa vyombo vyake nasikia yuko Manyoni kujenga...
Sauti zetu zimesikika sauti za kudai mageuzi makubwa katika uchumi wetu.
Sauti zilizokuwa na lengo la kuboresha mazingira ya kufanya biashara kwa sisi vijana ikiwemo uwepo wa miundombinu wezeshi...
Inasaidia nini kupiga soga na kina Mbowe na kuonyesha umma kuwa mnademokrasia wakati mali za umma zinaibiwa na wananchi wanateseka. Hizi ni demokrasia uchwara
Sasa hivi akina mama wakienda...
MHE. LUCY JOHN SABU KATIKA KILELE CHA WIKI YA CHIPUKIZI CCM MKOA WA SIMIYU
Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Mkoa wa Simiyu Mhe. Lucy John Sabu katika kilele cha Wiki ya Chipukizi wa Chama...
Kwa namna dunia inavyoenda, shughuli za kiuchumi zinavyoongezeka Duniani hasa kwenye sekta ya Viwanda na matumizi ya mkaa katika nchi masikini, mabadiliko ya tabia ya nch hayaepukiki.
Nguvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.