Mchungaji Msigwa: Bweni ifutwe kwa shule zote za Msingi, Sekondari na High School ili kuwaepusha Wanafunzi na Mapenzi ya Jinsia Moja!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,113
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ameishauri selikali kufuta mabweni kwenye shule zote za Msingi Sekondari na high school ili watoto walelewe kimaadili na Wazazi wao

Mchungaji Msigwa amesema kuondoa mabweni kutawaepusha Wanafunzi na mahusiano ya Jinsia moja

Msigwa ameyasema haya katika ukurasa wake wa twitter kufuatia Serikali kuondoa mabweni kwa shule za Msingi hadi darasa la 4

Sabato Njema!
 
Ushoga ni tatizo lakini Uzinzi ni tatizo zaidi
 
Nchi yetu Usanii mtupu,
Wanajidai kuupinga ushoga
ila sheria iliyopo inapinga ulawiti TU.
Huu Ni unafiki wa kisiasa
 
Hii sidhani kama ni njia sahihi sana ukifanya check ya Profit/disadvantages
Lazima watoto wetu wajifunze kuishi kujumuia, na hayo watayapata wakiwa shuleni na wenzao pamoja, kuhusu ushoga serikali ikemee, wazazi wawape elimu ya kutosha watoto wao na wawafunze kumshika Mungu bas tutafika

Mana unaweza zuia bweni halafu wakawa wanapigwa na bodaboda + mafataki + Mimba kibao kwa watoto wa kike

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ameishauri selikali kufuta mabweni kwenye shule zote za Msingi Sekondari na high school ili watoto walelewe kimaadili na Wazazi wao

Mchungaji Msigwa amesema kuondoa mabweni kutawaepusha Wanafunzi na mahusiano ya Jinsia moja

Msigwa ameyasema haya katika ukurasa wake wa twitter kufuatia Serikali kuondoa mabweni kwa shule za Msingi hadi darasa la 4

Sabato Njema!
Hili linaukweli, maan wengi huanzia huko kusagana na kupigana cylinder!!
 
Huyu mchungaji akili za wapi hizi? yaani kufuta bweni ndo solution ya ushoga! Daah vizazi vingapi vimepitia bweni na hayo mambo hayakukithiri. Huyu inabidi aache siasa na huo uchungaji maana akili yake kwa sasa ni matope
 
IMG_3668.jpg

Siku chache baada ya Wizare ya Elimu kupiga Marufuku Shule za Bweni kwa Wanafunzi wa Awali hadi Darasa la Nne, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa ameshauri Shule za bweni kufutwa kabisa kwa Shule za Msingi na Sekondari

Kupitia ukurasa wake wa #Twitter, ameandika, "Nashauri shule za Bweni zingefutwa kwa shule za Msingi , 'Secondary' na 'High Schools', ili jukumu la kulea watoto libaki kwa Wazazi ili kuepusha watoto wetu kujifunza mambo ya hovyo yasio maadili ya Kiafrika na ya Kitanzania, kama vile mapenzi ya jinsia moja.”

Je, ana hoja asikilizwe?
 
Ni sawa Lakini siyo sawa, mwanafunzi Yuko form five Tabora boys, kwao ni Iringa, je, atakuwa anatoka Iringa -Tabora kwenda kusoma na kurudi Iringa kwa wazazi/walezi kila siku?
 
Kwa secondary ziachwe bweni .Kwasababu ni vizur mtoto akifika umri wa miaka 14 akakae bwen angalau aanze kujifunza maisha ya kujitegemea!!tukikaa nao sana nyumban tutaendelea kuzalisha marioo wengi.
 
Kwa secondary ziachwe bweni .Kwasababu ni vizur mtoto akifika umri wa miaka 14 akakae bwen angalau aanze kujifunza maisha ya kujitegemea!!tukikaa nao sana nyumban tutaendelea kuzalisha marioo wengi.
Shida inaanzia hapo aende kujifunza na kujitegemea mara ndo huingia kwenye ule mchezo wa kificho kificho
 
Back
Top Bottom