Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,318
Wahenga walisema ukila nyama ya mtu basi wewe utaendelea kula hiyo nyama.
Mara baada ya kupatikana muafaka na dawa ya kuwacha marumbano kati ya CHADEMA na CCM baadhi ya wana CCM wameamua kumuandama Rais Samia.
Hawataki kabisa maridhiano kati ya CCM/ watawala na CHADEMA. Hilo kundi lilizoea kufanya vurugu kuumiza wananchi wasiyo na hatia kisa chuki za kisiasa.
Hakika tumetoka mbali sana ila sasa kwa nguvu za Mungu na viongozi wetu tunaamini watatuvusha.
Tazameni hilo kundi la wahafidhina walivyokuwa wanatutendea bila huruma.