Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

kadendu

JF-Expert Member
Mar 30, 2014
519
337
Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa, nikupongeze pia kwa kuimudu vema wizara yako kwani unamsaidia vema mh Rais wetu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli.

Niende sasa kwenye mada yangu lengo kubwa ni kutaka kujua hivi unajua kwamba Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili hata dakika moja nafasi hiyo kwenye wilaya ambapo ndio Makao ya Ikulu ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania?

Mbali na kashfa kubwa ya mtihani wa Taifa darasa la saba 2020 iliyopelekea baadhi ya wenzake kubebeshwa msalaba wakati yeye ndie muhusika wa hiyo michezo miaka yote, tunajiuliza ni nani anamlinda Dada huyu?

Dada anaamini walimu wake ni kama mbwa tu! Mama Ndalichako kwa unyenyekevu fanya uchunguzi wa kina, mchunguze huyu Dada ni jeuri nani anamlinda huyu (japo kuna tetesi kwamba kuna kigogo pale Manisipaa Dodoma) huyu mama akiharibu anapenyapenya juu kuzima kashfa zake.

Binafsi najua hajaingia kwenye kumi na nane za Rais Magufuli lakini nakushauri mchunguze ikiwezekana Fanya ziara ongea na walimu wa Wilaya ya Chamwino, wanalilia mioyoni.

Tafadhali Mama wilaya yetu ilipo Ikulu yetu pendwa weka MTU muwajibikaji Wa aina yako kwa ufupi afisa elimu huyu haendani na kasi ya Rais Magufuli. Naomba nikusisitize mchunguze kwa manufaa ya wilaya ya Chamwino ikulu.
 
Namfahamu vema huyu Dada nilihama wilaya ya Chamwino kwa ajili yake,nakumbuka kuna siku kulikuwa na kikao nafikiri cha walimu wakuu kuna mwalimu alitoka kilometa zaidi ya 120 ilipo shule yake alimfukuza kama mbwa na alichelewa dakika 20 tu na changàmoto za Barabara za vijijini zinajulikana.
 
Namfahamu vema huyu Dada nilihama wilaya ya Chamwino kwa ajili yake,nakumbuka kuna siku kulikuwa na kikao nafikiri cha walimu wakuu kuna mwalimu alitoka kilometa zaidi ya 120 ilipo shule yake alimfukuza kama mbwa na alichelewa dakika 20 tu na changàmoto za Barbara za vijijini zinajulikana.
Unamzungumzia MTU ninae mjua tangu chuoni maalufu kama zaina ifike maali serikali iwe inachunguza kabla ya kumpa nafasi nyeti MTU miaka ya karibuni nilipata taarifa kuwa kapora Mme Wa MTU pale udom prof mmoja anatokea nyanda za juu kusini,ndiye anaempa kiburi hata avurunde anampigania kokote kwa sasa huyo prof anakacheo manisipaa Dodoma ni kweli magufuri hajawajua.
 
Binafsi najiulizaga hiki cheo cha uafisa elimu tena wilaya nyeti, alipewaje maana hata haiba ya ualimu hana kwa sasa rafiki yake ni mwalimu mmoja amehamia kutoka Kigoma miaka ya karibuni huyo tangu ahamie hapa wilaya ya Chamwino tangazo lake kubwa ni kuwa amezaa na Pinda ikapelekea ofisi moja nyeti ikamwita kumuhoji ndipo akakanusha tangazo lake.
 
Unamzungumzia MTU ninae mjua tangu chuoni maalufu kama zaina ifike maali serikali iwe inachunguza kabla ya kumpa nafasi nyeti MTU miaka ya karibuni nilipata taarifa kuwa kapora Mme Wa MTU pale udom prof mmoja anatokea nyanda za juu kusini,ndiye anaempa kiburi hata avurunde anampigania kokote kwa sasa huyo prof anakacheo manisipaa Dodoma ni kweli magufuri hajawajua.
Unamzungumzia professor Mwamfupe?
 
Kama ni huyu dada kwakweli ni zaidi ya shetani kuna siku nilifika ofisi za elimu wilaya Chamwino nilimkuta mwalimu Wa kiume anatokea vijijini kwa muonekano kisukari kimemtafuna haswa, nikamuhoji mbona unalia?

Akaniambia nammukuu, nimekuja kumuomba afisa elimu anisogeze angalau karibu na huduma kule Kijijini vyakula na huduma hususani tatizo langu la kisukari nateseka ntakufa afisa elimu akanijibu ondoka kafie hukohuko mbona kila MTU atakufa mwisho Wa nukuu, huyo mwalimu alijitambulisha ni MTU Wa bukoba nilisikia uchungu sana nikahisi idara inaongozwa na shetani.
 
Mimi nadhani ungewekwa utaratibu wa kuruhusu wananchi wote tuwe 'usalama wa Taifa' tuwekewe utaratibu wa KUMPA 'UBUYU'(Umbea) Mh Rais mojakwamoja yaani awe na 'LAINI YA SIMU YA WANANCHI' ambayo tutatuma ujumbe wa tunayojua hayako sawa..maana kuna watu hawatishwi polisi wala takukuru
 
WAPIKA MAJUNGU!
Mnayo Maswali kadhaa ya Kujiuliza kama sio kujibu!
1. Mnafahamu Mamlaka ya Uteuzi wa Afisa Elimu ni nani?
2. Mnazo justification za majina ya hao Walimu walioonwa mbwa na Huyo Dada?
3. Mnaifahamu vizuri Historia ya Uongozi Chamwino tangu kuingia kwa awamu ya Tano ya Dr. JPM?
4. Kama (kweli) huyo Dada hafai, Matatizo yake kiutendaji ni yapi?.
5. INAWEZEKANAJE KILA KIONGOZI ANAELETWA CHAMWINO NI MBOVU?

MLIANZA NA WALE, WAKAONDOKA KWA DHULMA,
SASAHIVI MMEKUJA NA HUYU, ATAONDOKA (DHULMA!),
MKIMALIZA MTAENDA KWA MWINGINE!
WATENDEENI WATU HAKI, MUWE WAKWELI!
 
Naona una ukaribu na huyo mdada ,ila ukwel halmashaur nyingi zilizo chini ya wamama hasa ma Afisa Elimu msingi Ni watu wa hovyo Sana na Wana dharau balaa ,Sekondari sio Sana sijui kwavile hawa wa sec mara nyingi Elimu zao sio za kuunga unga Kama hao wa msingi wanaotokea cheti,diploma Kisha degree yaan Ni watu wa hovyo Sana .

Ukifuatilia comments kibao hapo juu utagundua huyo ndugu yako ana vitabia vya hovyo ,lakin mshaur kuwa swala likishafika jamii forum ahesab maumivu tu maana hii platform inapitiwa na watu kitengo kibao so kuanzia Sasa ivi Ni ama aache huo ujinga au akubal kuachia ofisi .

Saiz atakuwa chini ya uchunguz mkali bila yeye mwenyew kujijua ili waone Kama anaonewa au ndivyo alaivyo .Muda utatoa majib sahihi
 
Back
Top Bottom