Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amempongeza Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujikita kuangazia katika...
"ROSE Mboma, mdogo wake wa mwisho Mkuu wa Majeshi Mstaafu (CDF) Generali Robert Mbona amekamatwa na Polisi wa Serikali ya Rais Magufuli jijini Mbeya kwa "kosa" la kusambaza picha ya binti aliyevaa...
Tunakumbushana tu kwa sababu Watanzania Siyo Wajinga.
Chadema haina nguvu yoyote Zanzibar na kwa sababu hiyo haina ushawishi.
Kura ya maoni kuamua Katiba Mpya Tanzania na Zanzibar zinasimama...
Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Mhe. Vita Rashid Kawawa amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani kwa kutekeleza Miradi...
Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli. Sasa tunajiuliza nani muongo, Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion?
KAMATI YA BUNGE YA UTAWALA YARIDHISHWA NA JITIHADA ZA MLENGWA WA TASAF WILAYANI UYUI NA KUMCHANGIA 530,000/= KUMUWEZESHA KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YA KUISHI.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya...
Naona kimeibuka kikundi cha watu wanaolalamika kuwa mikutano ya CHADEMA inawapotezea watu muda wa kufanya kazi.
Wapo wengine wanasema hiyo mikutano haina tija na ni upotevu wa hela za wananchi...
Watu wanahoji kwa nini Rais Magufuli anapeleka maendeleo kwao, Chato na Geita kwa ujumla, kama vile watu wa Chato au Geita hawastahili kupata maendeleo, sasa asipeleke Chato apeleke wapi...
Bunge la Kenya lipo kwenye mjadala wa kufanya mabadiliko makubwa ya Katiba yake kwa kinatajwa na muungano wa Kenya Kwanza ya Rais Ruto kuunganisha taifa, hii ni baada ya mpango wa Rais Kenyatta wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu Jijini Dar es salaam ambapo Katika ziara hiyo atazindua miradi mbalimbali ya...
Hello Wadau.
Serikali ya Tanzania inapanga Kukopa sh.Bil.446 Kwa Ajili ya mradi wa Tasaf.
Serikali imekuwa ikiendesha programme ya Tasaf Kwa miaka Sasa na lengo lake likielezwa kwamba ni kusaidia...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa amezindua boti ya utalii iitwayo TAWA SEA CRUISER katika Hifadhi ya Urithi wa Dunia Magofu ya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara yaliyopo katika...
Baada ya kupata elimu ya kutosha kuhusu Hati Fungate za serikali na kuelewa nawashukuru wote waliochangia
Ila nimetatizika na jambo Moja ambalo nalo ningeomba kufafanuliwa na wataalamu wa maswala...
Wafuasi wake walimpokea kwa mbwembwe, akawaahidi sasa amerudi Nyumbani. Alisema alikimbia nchi baada ya kupigiwa simu na marafiki muhimu na kumwambia akimbie ili kuokoa maisha yake!
Muda wote...
Kuna watu huwa wananishangaza kuwafananisha hawa viongozi wawili. Wanachofanana ni kitu kimoja tu, uroho wa madaraka. Huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hakuna agenda nyingine bali uroho wa...
Angalia huduma za Msingi kama umeme, maji nk ni kero tofauti ni mtangulizi wake. Hivi mnajua kwa Nini Magufuli anapendwa sana mtaani licha ya wizi wa kura au mauaji aliyoyafanya? Ni kama alikuwa...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mh Songoro Mnyonge ametoa amri kwa saluni zinazoofanya Massage , kujisalimisha kwenye ofisi za Halmashauri hiyo kwa lengo la kusajiliwa ili kulipa kodi ya...
Mifano iko mingi sana!
Marehemu Sankara wa Burkina Faso alipinduliwa na kuuwawa na aliekiwa Rafikie wa karibu na msiri wake Bless Compaore. Marehemu Patrce Emely Lumumba alipinduliwa na mtu wake...
Habari!
Hali ni mbaya sana.
Kama mtumishi wa umma unafika ofisi nyingine ya umma unakutana na urasimu (mizunguko isiyo na ulazima au ucheleweshwaji wa huduma)je, wananchi wanakutana na vizingiti...