Kinachoendelea sasa ni kuongezeka wimbi la mahujaji wanaoenda kuzuru kaburi la Hayati Magufuli kule Chato tena wanaenda kimyakimya hawataki camera wala media coverage.
Siku ya leo Chato imejaa...
Naibu waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara nchini na Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mhe. Exaud S.Kigahe amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Nakumbuka kusikia siku 100 za Rais ila sikumbuki kusikia maadhimisho ya mwaka mmoja, miwili, mitatu, minne au mitano ya serikali ya awamu yoyote iliyopita isipokuwa hii ya awamu ya sita. Kama...
Askofu wa KKKT DMP Dr Malasusa amesema Shule na Hospital za Kanisa siyo za Binafsi kama zinavyoitwa na Wengi bali Hizi ni Huduma za Kiroho
Askofu Malasusa amesema Shule za Binafsi kuna...
Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde, tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya...
Tarehe 16 March, hatimaye serikali ilitaarifu uwepo wa ugonjwa wa ajabu Kagera.
Wakati maisha yakiendelea mabasi nayo kazini.
Huu uchunguzi tulioarifiwa kuuhusu huu ugonjwa hadi lini?
Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.
Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati...
Awamu hii Wateule hawatumbuliwi majukwaani Kama awamu ya 5; Kwa sasa
1. Unahamishwa/demotion
2. Unatumbuliwa/kupangiwa kazi nyingine (hewa).
Mifano ya waliokumbwa na dhahma hiyo,
I. Professor...
Kwanini unapenda kuongelea KAZI yangu sana wewe?
Kwani vyama vingi ndo vilianzisha ubunge? Kwani familia za kichifu hazikubebana? Je, uchifu si ulipatikana kwa kupambana kama Simba aliyeuawawa...
Kufatia taarifa za kiintelijensia za uvunjifu wa amani huko Afrika kusini kupitia maandamano ya kiuchumi
Ubalozi wetu umewasihi watanzania kuchukua tahadhari za kiusalama
USSR
Nimemsikiliza waziri wa Ujenzi, Prof Mbarawa, juu ya mikataba ya Ujenzi juu ya aina ya mikataba ya ujenzi.
Alikuwa akiongea na ITV wakati wa ziara ya Kamati ya Miundombinu ya Bunge.
Ati kuna...
Rais Samia ameikuta Nchi imetamalaki Siasa zilizojaa uadui na chuki zilizopitiliza. Nani ambaye hakumbuki ulishajengwa utamaduni Mpya kila mwenye Chama tofauti na wewe ni adui wako? Kila apandae...
Makamu mwenyekiti yupo ziarani mikoa ya magharibi mwa Tanzania, ambapo tayari kapita Kagera na mkoa mpya wa Geita.
Hapo Kagera kakutana na mkuu wa mkoa bwana Chalamila ambae juzi kaongea maneno...
Muda mfupi uliopita kamati ya Nidhamu ya chama cha ANC imemfungia Julius Malema kwa mika mitano na kumvua madaraka ya Urais wa Vijana pamoja na Msemaji wa ANCYL Floyd Shivambu. Malema ameonekana...
Kuna mdahalo mkali sana unaendelea kuhusu kumbukumbu ya miaka miwili bila JPM.
Kumeshaibuka pande mbili za wanaomkumbuka.Magufuli. upande wa kwanza ni wale wanaomuomboleza wakikumbuka mema yake...
CHADEMA jipangeni kuingia uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 bila hata Katiba mpya. Ni wazi kwamba uwezekano wa kupatikana katiba mpya ni kuanzia mwaka 2026, hii ni kwa...
Hicho kichwa cha habari ndio thread yenyewe
Askofu Mwamakula anasema Duniani kote WATU walioleta mabadiliko ni wale ambao hawakuogopa kufa
cc: Wakili Pascal Mayalla
Leo 01/01/2021 mamlaka ya mapato Tanzania kupitia kwa waandishi wa habari, imetangaza makusanyo ya mwezi Disemba 2020 kuwa ni takribani trilioni 2, hii ni rekodi tangu kuanzishwa kwa mamlaka...
Inasikitisha na kutia aibu sana!
Msimamo wa Tundu Lissu na Chadema ni kutowatambua wabunge 19 wa kuteuliwa kutoka ndani ya chama hicho.
Msimamo huo huo pia, ni kutokumtambua mbunge halali wa...
Yaani wanadhani mwendazake kuna siku atarudi, wanaonyesha chuki za wazi kabisa kwa huyu mama, wanajaribu kutuaminisha kwamba magufuli alikua ndo bora kuliko huyu mama!
SSH pamoja na mapungufu...