Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tupo kwenye kumbukizi ya mwaka wa pili tokea kufariki kwa Rais Magufuli, tunaendelea kumtakia pumziko jema la milele. Kabla ya kufariki kwake Magufuli kulitanguliwa na kifo cha aliekuwa rais wa...
10 Reactions
73 Replies
5K Views
EWURA ni jipu la Taifa, ikulu iliangalie hili kwa jicho la kuwajali wananchi TANESCO inatumika kisiasa, na hili limefanikisha wananchi kukosa imani na serikali. Polisi imeshapoteza uadilifu...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema Wenyeviti wa vyama vya Upinzani siyo kwamba wanalazimisha kudumu madarakani bali Katiba ya JMT na Katiba za vyama vyao ndio zinaruhusu Lisu...
8 Reactions
73 Replies
3K Views
USIKU wa kuamkia Januari 21, 1964, Jeshi la Tanzania liliasi na kushikilia serikali kwa muda, tukio ambalo Baba wa taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alilielezea kuwa ni “siku ya aibu sana...
6 Reactions
38 Replies
9K Views
Inashangaza kuona kwamba UWT ni taasisi ya CCM. Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) unapaswa kuwa umoja wa wanawake wote Tanzania bila kujali itikadi ya vyama. Wanawake wa CCM waanzishe umoja wao...
2 Reactions
10 Replies
924 Views
RAIS SAMIA KUONGOZA KILELE CHA MIAKA MIWILI YA AWAMU YA 6- LEO SAA 4 ASUBUHI HII. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Machi 19, 2023 atakuwa mgeni...
1 Reactions
5 Replies
905 Views
Kikundi cha wahandisi wenye ulemavu DAG, kimewezeshwa Shilingi milioni 400 kwaajili ya ujenzi wa karakana kubwa na kuongeza uzalishaji. Tayari milioni 324 zimeingizwa katika akaunti yao na kuanza...
2 Reactions
1 Replies
414 Views
Katibu mkuu wa Chadema Mh John Mnyika amesema 17/3/2023 Mwenyezi Mungu alifungua Ukurasa mpya kwa Nchi Yetu lakini bado hatujapata Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi hivyo ni lazima Wananchi...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Tundu Lissu amesema Chadema haina urafiki na CCM na hata kinachofanyika kwenye Maridhiano ni kurekebisha makosa yalifanyika awamu ya 4 ikiwemo JK kutukosesha Katiba mpya na makosa ya Awamu ya 5 ya...
4 Reactions
1 Replies
795 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza Operesheni kabambe ya kuzunguka Nchi nzima kuelimisha na kuamsha wananchi Nchi nzima. Operesheni hiyo ambayo Jina lake linahifadhiwa kwa...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Kwa ujumla ni kwamba sasa ni dhahiri kwamba Watanzania wote wanataka waongozwe na Chadema, ukiachilia mbali watoto wa viongozi wa CCM na binamu zao na familia zao na hao wanaojiita Chawa...
13 Reactions
43 Replies
3K Views
Wengi wanamwangalia Godbless Lema kama mtu mwenye dharau na anayejidai baada ya Kutoka Ulaya. Binafsi naangalia hoja za Lema na si yeye kama mtu. 1980s Wazamiaji mabaharia wetu walipokuwa...
15 Reactions
15 Replies
1K Views
Kamati ya Kidumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo chini ya Mwenyekiti Mhe. Prof. Kitila Mkumbo imeipongeza Taasisi ya Sanaa na Utamaduni nchini (TaSUBa) kwa kufanya ukarabati na kununua...
0 Reactions
3 Replies
378 Views
Wakuu habarini za Jpili, Tutafakari sote kwa maslahi ya Taifa letu. Upinzani kama upinzani ingawa haujawa on right way ya kushika hatamu but umesaidia sana kuibua kashfa nyingi sana nchini za...
1 Reactions
2 Replies
688 Views
Mafuriko ya Mbeya Rais Samia ametoa msaada wote wa kibinadamu. Serikali imeweka full attention kusaidia wahanga. Nimefarijika sana. Sasa nikakumbuka lile tetemeko la Kagera.. Magufuli alivyo...
26 Reactions
301 Replies
16K Views
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Mhe. Tundu Lissu anatarajiwa kuwepo kwenye kipindi cha medani za siasa cha Star Tv Live leo machi 18, 2023 muda wa saa 3.30 Usiku ambapo Lissu atafunguka mengi...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Ajabu anayestahili zaidi kupata PhD ya heshima ndiye anayesakamwa zaidi. Mambo aliuofanya Tale WCB na kwa kina Dogo Janja, anastahili PhD kuliko maprofesa na madoctor wanaopeana huko majalalani...
12 Reactions
87 Replies
7K Views
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Godbless Lema amewataka Wanawake wampuuze Mkuu wa mkoa wa DSM mh Amos Makalla. Hii ni baada ya Makalla kuwataka Wanawake wampuuze Lema kufuatia madai yake kuwa...
10 Reactions
74 Replies
6K Views
Naomba mniruhusu tu niandike haya machache! Leo muda wa asubuhi nilimuagiza mtu wa 'bodaboda' aniletee vitu nilivyomuagiza. Walikuwa na mwenzake. Baada ya salamu yule mwenzake akasema "hali ni...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Rais Samia ameonyesha utayari wa kufanya mabadiliko ili Wizi wa kura wakati wa Uchaguzi usiwepo Lisu amesema kwa sababu ya Imani yao kwa Uongozi wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom