conductor
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 838
- 715
Kwanini unapenda kuongelea KAZI yangu sana wewe?
Kwani vyama vingi ndo vilianzisha ubunge? Kwani familia za kichifu hazikubebana? Je, uchifu si ulipatikana kwa kupambana kama Simba aliyeuawawa juzi Bob junior?
Nimezaliwa nikakuta Baba yangu ana bahati ni mwalim wa UPE, akabahatika kushiriki mikutano ya kijiji, akachaguliwa na Nyerere akawe BALOZ ng'ambo yambali.
Nikazaliwa huko huko, baba alivyorud nchini akatuacha tusome huko huko, leo Mimi kwa bahati ya babangu na baba alivyotumikia CHAMA, nikapewa jimbo nijaribu kupambana, mkaniomba Pesa ili mnichague, baba akampigia rafikiye ambae Watoto wake bado wadogo anayefanya kiwanda cha CEMENTI kama muhasibu anifanyie kiasi flani nipambane.
Nikapata mkopo nikakupa Pesa wewe Mzee Manzese, Mzee Pugu, mzee Kariakoo, ili jina langu lipitishwe niingie kwenye mpambano na CHAMA cha Watu Wafupi (CWW), nikaingia mitaani we mama seketule na Mnazi mmoja nikawapa pesa ili mnichague, nikakupa ukanichagua sasa leo unalalamika kitu gani, nimekuwa nikifanya hivyo leo mi ni WAZIRI kwa kufanya FITNA ya kufa mtu nikapewa wizara inayochangia mapato ya nchi kwa 18%, sasa ganji za 10% zinanitosha kugombea tena na hizo ndo nitatoa kidogo kukupa tena unipigie kura, sasa kelele zako si za uonevu ndugu yangu?
Kwanza hata hicho kidogo nacholeta jimbo ni roho nzur yangu kwa sababu Mzee Wangu alizikwa hapo na mliudhuria kisa nitachinja na kula wali na Wengine kuomba nauli leo unasema mimi mbaya.basi nawe nionyeshe ulipojitoa katika harakati zangu za kutafuta Ajira hii ili nikukumbuke kama mtu mzuri.
Ukiniletea Yakukuru mawapa rushwa.
Ukiniletea Poyisi nawapa rushwa
Ukiletea Muyambo nawapa rushwa
Ukiletea DED ntampa RUSHWA
Ukiniletea Yaji nampa rushwa
Ukiniletea mwana IT mzuri nampa rushwa.
Ukinileta Gazeti nalipa rushwa
Yule aliyekuwa anafukunyua taarifa kwa undani na kuoji "tiviini" nilimbambikizia case ana stress na hana nauli.
Nimeweka ndugu zangu kwenye vitengo nyeti huko ardh,bank kuu, makusanyoni, Mizani,Majin ili nikikwama wao ndo waniboost wewe unasema unataka Ajira eneo hilo kwa lipi wewe bwa mdogo?
Tulia chama hiki Babangu kakifia.kapambana na majangiri, Nimepotosha tume ya democrasia, ukiletea mdomo ofisin nakuhamisha nakupeleka nyamisati upambane na miti ya miombo. Hapa Ngoma NI PAMBANA KAMA BOB JUNIOR,ukishindwa acha nile vyangu.
TENA 2030 natoa pesa naongombea uenyekit ws mkoa nyeti ndani ya chama na watoto wangu watakuwa wanakuwa wanamaliza masoma Yao ya POLITICAL SCIENCE, CONSTITUTION, IT, SOCIALOGY, PLANING na yule binti yangu nataka asome UANDISI kama mimi TENA yeye aende renewable energy na natural gas. Wote nikawaweka kwenye mitandao narudi zangu kuongoza inchi kwanjia ya mtandao. Mpaka nakufa.
Hivyo neno HAKI na wanachi hayo maeneo ya kwenye KHANGA , kwani wewe umenisaidia wapi ?. Tena sheria yabunge ajue kusoma na kuandika Naona nacho ni kigezo kigumu nadhani ningekuwa spika nashusha kigezo kujua Kiswahili Tu. Mikataba nitawaita WAKENYA wanifanyie KAZI.
Tatizo MBUNGE au UBUNGE. Tatizo we mwananchi kama naboa mi si najua kusoma na kuandika , we si una masters na kijijni si mko kama 140 wasomi leta mbinu yakuniondoa Kwa kutumia elimu yenu nione kama kipi bora ELIMU au connect?
View attachment 2556606