Wanaomkandia Hayati Magufuli ni watukufu au waovu? Ni mafisadi au wema? Ni wazembe au wavivu?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,383
1,248
WanaJF,

Heri ya Jumatatu! Mara nyingi sana nimesikia, nimesoma mengi juu ya uchafuzi wa image ya aliyekuwa Rais wetu JPM - wengine hujenga hoja dhaifu juu ya Katiba mpya (hawa wanaweza kuwa sahihi lkn tujiulize KIPINDI JPM ANAOMBA URAIS WAPI ALIPOAHIDI KULETA KATIBA MPYA? Aliahidi kushugulikia ufisadi na ndicho kilitokea!

Pili, aliahidi kushugulikia Miundombinu ya viwanja vya ndege ili akina Lissu, Lema, Zitto, Prof Lipumba, Mbowe, nk wapande ndege kwenda na kurudi nchini bila kikwazo - VIWANJA VILIJENGWA na wanufaika wakuu ni CDM, NCCR, ACT, CUF nk

Tatu, aliahidi kushugulikia Miundombinu ya Bwawa kubwa la umeme la Mwl Nyerere, Rusumo, Rea, na DARAJA LA BUSISI haya nayo yanaenda kukamilika - wanufaika watakuwa CDM, NCCR, CUF, ACT nk

Nne, aliahidi kufanya mageuzi ktk sekta ya madini leo kila wilaya ina soko na watu wanashughulikia masuala ya madini hapa pia wanufaika wakuu ni CDM, NCCR, CUF, ACT nk kwa kuwa RUZUKU mnazopata chanzo ni uimara wa mapato ya SERIKALI!

Tano, mengineyo - yapo mengi mazuri hatuwezi kuyataja yote hapa yaliyoanzishwa na JPM lkn CDM, NCCR, ACT, CUF nk hujitia upofu kama hawayaoni NI AIBU YAO leo wamekosa agenda na kukandya:-
(a) BODABODA
(b) Vikoba vya wanawake
(c) Wakulima wa avocado
(d) Watumishi wa umma!

Sisi CCM makundi hayo yote tumayachukulia kama mtaji wa kisiasa
CCM ni Tanzania!

Tanzania ni CCM.
 
Mtu mzima hovyo. Mbona Magufuli alitukanwa kwenye mkutano mkuu wa CCM na watu wakashangilia?. Tuondolee kelele.
 
Road map 2023-2025 na maridhiano ya kisiasa.
 
Shetani Magufuli alipokuwa anaomba kura hakuahidi kuteka na kuua wapinzani lakini aliteka na kuua, hakuahidi kutembea na fedha za umma kwenye begi lakini alitembea na fedha za umma kwenye mabegi na kuzitapanya ovyo barabarani, hakuahidi kupora fedha za watu kwenye mabenki na maduka ya fedha lakini alipora, hakuahidi kujenga uwanja wa Chato lakini alijenga na sasa unatumika kuanika mazao, hakuahidi kununua wapinzani lakini aliwanunua na kuwazawadia vyeo vikubwa serikalini na CCM, hakuahidi kutokutii katiba na sheria za nchi lakini alivunja katiba na sheria!

Hakika atakumbukwa daima kwa wizi na ujambazi!
 
Kila mtu kwa utashi wake ni vema kumpa uhuru wa kuamua na kusema ni kipi chema au kibaya.

Ila kutumia muda wananchi waliokuweka sehemu fulani kutatua issues zao kwa kupiga majungu au kutumia muda wako kwa kupambana na marehemu wakati waliopo bado wanafanya ndivyo sivyo nadhani sio matumizi mazuri ya muda.

Lakini freedom ya kila mtu ku-voice mawazo yako ni priceless (tusizibane midomo)
 
Kila mtu kwa utashi wake ni vema kumpa uhuru wa kuamua na kusema ni kipi chema au kibaya...
Hapana nakukatalia, mtu huwa hivyo kwa jinsi anavyowaza. Ni muhimu kuacha kumjadili marahemu tujadili fursa za kilimo au biashara au uwekezaji, tujadili changamoto. Wasio kuwa na akili wamekuwa wajinga sana na sijui kwa nini serikali ya rais Dkt Samia imeruhusu huu ujinga maana haya mambo hata yeye yatamkuta. Ni muhimu kujijengea utamaduni wa kuheshimu viongozi maana Mungu ndiye kawaweka.
 
Hapana nakukatalia, mtu huwa hivyo kwa jinsi anavyowaza. Ni muhimu kuacha kumjadili marahemu tujadili fursa za kilimo au biashara au uwekezaji, tujadili changamoto. Wasio kuwa na akili wamekuwa wajinga sana na sijui kwa nini serikali ya rais Dkt Samia imeruhusu huu ujinga maana haya mambo hata yeye yatamkuta. Ni muhimu kujijengea utamaduni wa kuheshimu viongozi maana Mungu ndiye kawaweka
Hapa unajadili Kilimo na Biashara? To each his / her ndio maana nikasema inategemea ni nani anayefanya hivyo kama ni watu ambao wapo pale kuwakilisha wengine kama sauti zao kutumia muda wao kufanya hivyo haitakiwi.

Ila kama ni wamama wa nyumbani wanatumia muda wao kujadili Telenovella au chochote kile kwa muda wao wa ziada hio ni prerogative yao.... sababu tuna choice ya kuwapuuza.
 
WanaJF,

Heri ya Jumatatu! Mara nyingi sana nimesikia, nimesoma mengi juu ya uchafuzi wa image ya aliyekuwa Rais wetu JPM - wengine hujenga hoja dhaifu juu ya Katiba mpya (hawa wanaweza kuwa sahihi lkn tujiulize KIPINDI JPM ANAOMBA URAIS WAPI ALIPOAHIDI KULETA KATIBA MPYA? Aliahidi kushugulikia ufisadi na ndicho kilitokea!

Pili, aliahidi kushugulikia Miundombinu ya viwanja vya ndege ili akina Lissu, Lema, Zitto, Prof Lipumba, Mbowe, nk wapande ndege kwenda na kurudi nchini bila kikwazo - VIWANJA VILIJENGWA na wanufaika wakuu ni CDM, NCCR, ACT, CUF nk

Tatu, aliahidi kushugulikia Miundombinu ya Bwawa kubwa la umeme la Mwl Nyerere, Rusumo, Rea, na DARAJA LA BUSISI haya nayo yanaenda kukamilika - wanufaika watakuwa CDM, NCCR, CUF, ACT nk

Nne, aliahidi kufanya mageuzi ktk sekta ya madini leo kila wilaya ina soko na watu wanashughulikia masuala ya madini hapa pia wanufaika wakuu ni CDM, NCCR, CUF, ACT nk kwa kuwa RUZUKU mnazopata chanzo ni uimara wa mapato ya SERIKALI!

Tano, mengineyo - yapo mengi mazuri hatuwezi kuyataja yote hapa yaliyoanzishwa na JPM lkn CDM, NCCR, ACT, CUF nk hujitia upofu kama hawayaoni NI AIBU YAO leo wamekosa agenda na kukandya:-
(a) BODABODA
(b) Vikoba vya wanawake
(c) Wakulima wa avocado
(d) Watumishi wa umma!

Sisi CCM makundi hayo yote tumayachukulia kama mtaji wa kisiasa
CCM ni Tanzania!

Tanzania ni CCM.
ccm na sukuma gang ni mapumbavu
 
Hakuna anayeikubali CCM na uongozi mmbovu wa JPM akawa mtu mwenye akili nzuri. Watu hawa siasa zao ni za kujaza matumbo yao tu, basi!
 
Hakuna vita ngumu kama ya kupigana na wapumbavu na washamba (WASUKUMA), Vichwa vyao vimejaa takataka, hizi takataka zinafaa kuongozwa kama Ng'ombe zao.
 
Hakuna anayeikubali CCM na uongozi mmbovu wa JPM akawa mtu mwenye akili nzuri. Watu hawa siasa zao ni za kujaza matumbo yao tu, basi!
Hapana nakataa kabsaa wachilia mbali Madhaifu ya JPM,ila jamaa alitaka kuibadilisha Tanzania sema kwa sababu hii Africa kuna watu wanataka wengine wapate na wengine wakose ndo kinachotuumiza sana.Hakukuwai na hakutowai kuwa na Rais kama JPM.
 
Wajinga na wavivu na wezi na vyeti feki na bendera fuata upepo ndio wanajifanya hawaoni mazuri ya jembe lakini ni swala la mudatu akili zitawakaa sawa.
 
Back
Top Bottom