Barrick yaipatia Serikali Dola milioni 30 za ujenzi wa Mabweni na Madarasa kwa ajili ya Shule za A level

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,042
49,727
Barrick yatoa Msaada wa dola za Marekani mil.30 sawa na zaidi ya Bil.70 za Tanzania.

Zitatumika Kwa Ajili ya Ujenzi wa

Mabweni 275

Madarasa 1094

Kazi iendelee

Wazungu sio wajinga ukiona hivyo kuna kitalu kipya wanakipigia chapua very soon mtasikia,

Wajinga sisi tunaona Billion 70 ni za maana sana ilihali jamaa kwa mwezi wana make zaidi ya hizo hapo
 
Mawazo ya failure mmja huko 🤣🤣
 
Wazungu sio wajinga ukiona hivyo kuna kitalu kipya wanakipigia chapua very soon mtasikia,

Wajinga sisi tunaona Billion 70 ni za maana sana ilihali jamaa kwa mwezi wana make zaidi ya hizo hapo
Ikungi kuna bonge la kitaru kimegundulika
 
Back
Top Bottom