Uwekezaji wa CHAWA Hapa JF bado ni mdogo, Makamanda na Walinda legacy ndio wanatamba!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Ukiwa neutral Hapa Jf ni rahisi kuona makundi ya Wapambe yanayofanya vizuri na yale yanayofeli

Kwa mfano kundi la Makamanda walamba asali ndio linafanya vizuri hadi sasa Katika kuitetea uongozi wa Chadema, juhudi za Retired, Daudi Mchambuzi na Yoda zinaonekana wazi

Kuna Mataga au Walinda legacy hawa wako njema mwenye utetezi na ulinzi

Kundi lingine la Makamanda asilia la akina Tindo nalo haliko nyuma hasa Baada ya Lisu na Lema kurejea nyumbani

CHAWA bado hawajawa imara hapa Jf inabidi wakaze buti sana kwani shughuli ya hapa siyo ya kitoto tuna hadi Waganga wa jadi akina Mshana jr

Dominica njema!
 
Kwa mfano kundi la Makamanda walamba asali ndio linafanya vizuri hadi sasa Katika kuitetea uongozi wa Chadema, juhudi za Retired, Daudi Mchambuzi na Yoda zinaonekana wazi...
Mkuu unapambana sana na hewa!

Jaribu kupumzika uamke fresh kesho.
 
Ukiwa neutral Hapa JF ni rahisi kuona makundi ya Wapambe yanayofanya vizuri na yale yanayofeli

Kwa mfano kundi la Makamanda walamba asali ndio linafanya vizuri hadi sasa Katika kuitetea uongozi wa Chadema, juhudi za Retired, Daudi Mchambuzi na Yoda zinaonekana wazi

Kuna Mataga au Walinda legacy hawa wako njema mwenye utetezi na ulinzi

Kundi lingine la Makamanda asilia la akina Tindo nalo haliko nyuma hasa Baada ya Lisu na Lema kurejea nyumbani

CHAWA bado hawajawa imara hapa Jf inabidi wakaze buti sana kwani shughuli ya hapa siyo ya kitoto tuna hadi Waganga wa jadi akina Mshana jr

Dominica njema!
Tuanzie kwako, wewe upo kundi gani?
 
Ukiwa neutral Hapa Jf ni rahisi kuona makundi ya Wapambe yanayofanya vizuri na yale yanayofeli

Kwa mfano kundi la Makamanda walamba asali ndio linafanya vizuri hadi sasa Katika kuitetea uongozi wa Chadema, juhudi za Retired, Daudi Mchambuzi na Yoda zinaonekana wazi

Kuna Mataga au Walinda legacy hawa wako njema mwenye utetezi na ulinzi

Kundi lingine la Makamanda asilia la akina Tindo nalo haliko nyuma hasa Baada ya Lisu na Lema kurejea nyumbani

CHAWA bado hawajawa imara hapa Jf inabidi wakaze buti sana kwani shughuli ya hapa siyo ya kitoto tuna hadi Waganga wa jadi akina Mshana jr

Dominica njema!
Makamanda na washika bunduki 🤣🤣🤣
 
Ukiwa neutral Hapa Jf ni rahisi kuona makundi ya Wapambe yanayofanya vizuri na yale yanayofeli

Kwa mfano kundi la Makamanda walamba asali ndio linafanya vizuri hadi sasa Katika kuitetea uongozi wa Chadema, juhudi za Retired, Daudi Mchambuzi na Yoda zinaonekana wazi...
Karibu CCM tujenge nchi
 
Wewe uko na makamanda kama sio hapo basi amesema utakua upo kule kitengo unalinda legacy na ubeba kibuyu chako maana wewe ndio yule mganga mwenyewe wa makamanda na wakienda legacy Mshana Jr
Mwambie asome hii

Road map 2023-2025 na maridhiano ya kisiasa
 
Back
Top Bottom