CHADEMA hawajawahi kuupinga mahakamani Uchaguzi wa wabunge 2020, hivyo ni halali kupokea ruzuku

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,019
142,058
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema ruzuku hutolewa kwa Chama kinachopata zaidi ya 5% ya kura zote za Wabunge wa majimbo

Lisu anasema kwa mujibu wa NEC CHADEMA walipata takribani 17% ya kura hizo na wakaqualify kupewa ruzuku

Sasa ikumbukwe hapa Baada ya Uchaguzi hakuna Mbunge yoyote wa Chadema au Mpiga kura aliyepinga matokeo ya jimbo lolote mahakamani

Ni kweli miongoni mwa wale Covid-19 wapo waliogombea Majimboni wakiwemo Mdee, Bulaya, Hawa, Matiko nk na hivyo kura walizopata zinazalisha ruzuku.

Hata hivyo wakati wa Uchaguzi hawa walikuwa ni Wanachama halali na watiifu wa Chadema na kura walipigiwa kwa udhamini wa Chama hicho wakiwa na Baraka zote

Tatu, Idadi ya wapiga kura ndio inayowezesha Chama kupata ruzuku hivyo ni sahihi kabisa Chadema kupata ruzuku ikiwa haina mbunge hata mmoja

Mwisho, kama alichosema Tundu Lisu ruzuku hutolewa kwa mujibu wa sheria na kwahiyo Chadema inapokea ruzuku hiyo kwa mujibu wa sheria Ili shughuli za Chama ziendelee na Jasho la Wapiga kura waliopanga foleni kuichagua Chadema lisipotee bure

Mungu wa mbinguni awabariki!
 
Rubbish , kwa mahakama zipi? hizi za Juma Pondamali? Wewe mpuuzi sana katika reasoning, au tumbo linakutoa ufahamu wa haki na kweli! Au unaandika makusudi kudhihaki watu.

Mpaka leo hatuna mahakama, tuna mabanda ya kupokea rushwa labda kidogo CA ambapo na penyewe isihusishe serikali, lakini huku chini ni mavi kabisa
 
Rubish , kwa mahakama zipi? hizi za Juma Pondamali? Wewe mpuuzi sana katika rasoning, tumbo linakutoa ufahamu wa haki na kweli! Au unaandika makusudi kudhihaki watu.

Mpaka leo hatuna mahakama, tuna mabanda ya kupokea rushwa labda kidogo CA ambapo na penyewe isihusishe serikali, lakini huku chini ni mavi kabisa
Unabishana na Lisu?!
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema ruzuku hutolewa kwa Chama kinachopata zaidi ya 5% ya kura zote za Wabunge wa majimbo

Lisu anasema kwa mujibu wa NEC Chadema walipata takribani 17% ya kura hizo na wakaqualify kupewa ruzuku

Sasa ikumbukwe hapa Baada ya Uchaguzi hakuna Mbunge yoyote wa Chadema au Mpiga kura aliyepinga matokeo ya jimbo lolote mahakamani

Ni kweli miongoni mwa wale Covid-19 wapo waliogombea Majimboni wakiwemo Mdee, Bulaya, Hawa, Matiko nk na hivyo kura walizopata zinazalisha ruzuku.

Hata hivyo wakati wa Uchaguzi hawa walikuwa ni Wanachama halali na watiifu wa Chadema na kura walipigiwa kwa udhamini wa Chama hicho wakiwa na Baraka zote

Tatu, Idadi ya wapiga kura ndio inayowezesha Chama kupata ruzuku hivyo ni sahihi kabisa Chadema kupata ruzuku ikiwa haina mbunge hata mmoja

Mwisho, kama alichosema Tundu Lisu ruzuku hutolewa kwa mujibu wa sheria na kwahiyo Chadema inapokea ruzuku hiyo kwa mujibu wa sheria Ili shughuli za Chama ziendelee na Jasho la Wapiga kura waliopanga foleni kuichagua Chadema lisipotee bure

Mungu wa mbinguni awabariki!
Uchaguzi mkuu akishatangazwa rais hauhojiwe popote sijui umetoa wapi hiyo rejea mfu
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema ruzuku hutolewa kwa Chama kinachopata zaidi ya 5% ya kura zote za Wabunge wa majimbo

Lisu anasema kwa mujibu wa NEC CHADEMA walipata takribani 17% ya kura hizo na wakaqualify kupewa ruzuku

Sasa ikumbukwe hapa Baada ya Uchaguzi hakuna Mbunge yoyote wa Chadema au Mpiga kura aliyepinga matokeo ya jimbo lolote mahakamani

Ni kweli miongoni mwa wale Covid-19 wapo waliogombea Majimboni wakiwemo Mdee, Bulaya, Hawa, Matiko nk na hivyo kura walizopata zinazalisha ruzuku.

Hata hivyo wakati wa Uchaguzi hawa walikuwa ni Wanachama halali na watiifu wa Chadema na kura walipigiwa kwa udhamini wa Chama hicho wakiwa na Baraka zote

Tatu, Idadi ya wapiga kura ndio inayowezesha Chama kupata ruzuku hivyo ni sahihi kabisa Chadema kupata ruzuku ikiwa haina mbunge hata mmoja

Mwisho, kama alichosema Tundu Lisu ruzuku hutolewa kwa mujibu wa sheria na kwahiyo Chadema inapokea ruzuku hiyo kwa mujibu wa sheria Ili shughuli za Chama ziendelee na Jasho la Wapiga kura waliopanga foleni kuichagua Chadema lisipotee bure

Mungu wa mbinguni awabariki!
HONGERA SANA KWA UFAFANUZI KWANI KUNA WAJINGA NA WAPUMBAVU wanadhani Ubunge wa Covid 19 ndio Unaleta hizo RUZUKU
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema ruzuku hutolewa kwa Chama kinachopata zaidi ya 5% ya kura zote za Wabunge wa majimbo

Lisu anasema kwa mujibu wa NEC CHADEMA walipata takribani 17% ya kura hizo na wakaqualify kupewa ruzuku

Sasa ikumbukwe hapa Baada ya Uchaguzi hakuna Mbunge yoyote wa Chadema au Mpiga kura aliyepinga matokeo ya jimbo lolote mahakamani

Ni kweli miongoni mwa wale Covid-19 wapo waliogombea Majimboni wakiwemo Mdee, Bulaya, Hawa, Matiko nk na hivyo kura walizopata zinazalisha ruzuku.

Hata hivyo wakati wa Uchaguzi hawa walikuwa ni Wanachama halali na watiifu wa Chadema na kura walipigiwa kwa udhamini wa Chama hicho wakiwa na Baraka zote

Tatu, Idadi ya wapiga kura ndio inayowezesha Chama kupata ruzuku hivyo ni sahihi kabisa Chadema kupata ruzuku ikiwa haina mbunge hata mmoja

Mwisho, kama alichosema Tundu Lisu ruzuku hutolewa kwa mujibu wa sheria na kwahiyo Chadema inapokea ruzuku hiyo kwa mujibu wa sheria Ili shughuli za Chama ziendelee na Jasho la Wapiga kura waliopanga foleni kuichagua Chadema lisipotee bure

Mungu wa mbinguni awabariki!
Walikua na sababu za kutopeleka kesi mahakanani.
Mahakanani nyingi zilikuwa zinapokea maelekezo toka juu yaani ni Kama NEC tu.
Kesi za Ubunge zinatakiwa zifunguliwe si chini ya siku 90 na zimalizike ndani ya miezi 6.

Ingekua ajabu kupeleka kesi unajua kabs maamuz mabovu yatakayotolewa dhidi yako.
 
Back
Top Bottom