Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana na Naibu wake Mhe. Hamis Mwinjuma leo Machi 20, 2023 wamefanya ziara ya kikazi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, kuona maandalizi ya kuanza kwa ukarabati wa Uwanja huo.
Katika ziara hiyo waliambatana pia na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Saidi Yakubu, Mkandarasi Mwelekezi kutoka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania ( TFF) pamoja na viongozi wa Sekta ya Michezo na Wataalam wa uwanja huo.
View attachment 2559479View attachment 2559480View attachment 2559481View attachment 2559485View attachment 2559482View attachment 2559486View attachment 2559483View attachment 2559484