Wakati mashirika mengine ya ndege yakiendelea kupata hasara, ATCL imeripotiwa kutengeneza faida ya $14M tangu kufufuliwa kwake, hii ni kwa mujibu wa taarifa ya rais Magufuli.
ATCL pia imeongeza...
Mihula mitatu ya uongozi wa mwanamama shupavu aliyekuwa Waziri mkuu wa Uingereza Magareth Thatcher kutoka 1979-1990 ilihitimishwa kwa mabadiliko makubwa nchini Uingereza. Ni misimamo yake mikali...
Rais Samia amewataka wale waliotajwa na CAG kwamba walikata Withholding tax lakini hawakuziwasilisha TRA wafanye hivyo mara moja
Miongoni mwa waliotajwa wamo ACT Wazalendo na Nadhani Hili...
Salute wakuu, mie mpaka leo ninakuna kichwa, ni kitu gani JPM alitumia kuzima maandamano yaliyokuwa yameitishwa na CHADEMA baada ya uchaguzi wa 2015 maarufu kwa jina la UKUTA?, kipindi kile JPM...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Andrey Levonovich Avetisyan ambapo katika mazungumzo...
Heshima Kwenu wakuu,
Leo nmeamua kuwaletea update kutoka kwenye mkutano wa aliyekuwa Waziri wa Michezo wa awamu ya tano Nape Nnauye.
Karibuni.
=======
UPDATES;
=======
13:08hrs: Nipo hapa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameunda Kamati kwa ajili ya kutathmini utendaji kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ili kuiwezesha...
hamjambo?
Nimeona li-viete limoja linazunguka kugawa vizibao(reflector) zilizoandikwa “nani kama yule” , #anaupiga mwingi, #sisi na bibi.
Nimekutana nalo mara 2 nkiwa ndani ya bajaji na nahisi...
Habari JF,
Mimi kama mtanzania wa hali ya chini nimekuwa nikifuatilia namna wananchi tunavyolipa kodi na Tozo mbali mbali lakini kuna mikopo mikubwa sana tumechukua ndani ya kipindi kifupi.
Kila...
Kwa sasa ni rasmi kuwa ukitaka Kumlipia Mwanao Bima yake ya Afya kwa Mwezi ni Tsh 160,000/ na ya Familia ni Tsh 600,000 huna hizo Pesa ukiugua subiria tu Kufa na tukakuzike.
Hivyo basi...
Kwa kweli sasa maisha yamekuwa mazuri na mama amefungua sana Ikulu na Nchi ujumla.
Natembea barabarani na mwona na Mbowe naye kwenye mabango. Hii isingewezekana awamu ya Tano. Mbowe ashukuru...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa na meneja wa shamba, Ahmed Al Mansour. wakati wa msafara wa kukagua na kujifunza kuhusu mradi huo wa shamba la ng'ombe. Picha na Ibrahim Bakari
Ukiingia kwa gari...
Rais wa nchi hii ni Mwenyekiti wa CCM, chama kinachodaiwa kuwa na wanachama wengi zaidi miongoni mwa vyama vya siasa vilivyomo kwenye daftari la msajili , huku Rais wetu ambaye ni mzalendo namba...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ), kimeanza ziara za kimya kimya za kutembelea vijiji vyote vilivyotelekezwa na serikali ya ccm tangu mwaka 1961 .
Kwa kuanzia , Bavicha imevuka milima...
Nimejiuliza maswali haya nimekosa majibu, Hivyo nimekuja kwenu wadau mnisaidie.
Ukipita maeneo mengi hususan mijini utakuta mabango yenye picha za kusifu mf. "Ametekeleza maono" "Ameimarisha...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika libarikiwe sana tumbo lililombeba mama Samia, lilibeba mtoto aliyekuja kuwa kiongozi wa Tanzania, kiongozi mwenye upendo, hekima, busara, ukarimu, huruma...
Ikumbukwe kuwa haikuwa nia ya Dr Slaa kugombea uRais mwaka 2010 bali aliombwa na Mbowe ili kuongeza ushawishi wa kura za majimboni kwa minajiri ya kutengeneza ruzuku kubwa
Ikumbukwe hapa Rais...
Inasikitisha sana,sana sanaaa jinsi hili shirika linatia aibu kwa Dunia hii ambayo hata Rwanda waliokuwa na ndege 1 sasa hivi wametupiga gap.
Nina imani nchi kama zambia na burundi zitatupiku...
Anthony, nakutonya mdogo wangu mfumo haukutaki na ni sababu tu inatafutwa ili ikumwage!
Kama mhangaikaji na binadamu mwenzangu nakuomba jiandae kisaikolojia yule jamaa aliyekunokolea kipindi...
Rais Samia anesema kwenye Viwango vya Siasa na Demokrasia vya Kimataifa hatujafanya vizuri hivyo tumeshuka chini
Source TBC
=======
Akizungumza baada ya kupokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU...