Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba. ---
19 Reactions
126 Replies
12K Views
Jana nilimsikia anafoka ati "stupid" huku anazungumza kwa lugha nyororo ambayo hata panya hashtuki wala kutetereka. Wakati anaingia madarakani, kwa kutumia hekima zake na uungwana wake, alianza...
22 Reactions
49 Replies
2K Views
Tumesikia repoti ya Mdhibiti na Mkaguzu Mkuu wa serikali (CAG) ilivyoweka wazi ubadhirifu wa matrilioni ya fedha za watanzania. Inasikitisha kuona jinsi fedha za maskini wa nchi hii zikitumika...
1 Reactions
2 Replies
430 Views
Tumesikia madudu ya kutisha, kama yalivyobainishwa na CAG, namna watanzania wenzetu, wasio na uzalendo hata kidogo, namna wanavyotafuna fedha zetu za Umma bila woga, Kwa kutuibia mabilioni ya...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Dhana ya mama anaupiga mwingi umefaa tu kwenye baadhi ya maeneo laini laini, msemo huu ungeenda sambamba na udhibiti wa pesa za walipa kodi nchi nzima tungeuimba wimbo huu. Kwa mara ya kwanza na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naibu Spika mh Zungu baada ya kutuletea Tozo tutafutie na Dawa ya kudhibiti Wezi wa Tozo hizo kama alivyobainisha CAG. Naona Tozo sasa ni sawa na Kunguru wa Zanzibar. Ramadan kareem!
3 Reactions
11 Replies
917 Views
Nimemsikiliza mh John Heche akiongea na wana habari hakika nimesikitikia sana waajiliwa nchini. Anasema wabunge wakistaafu wanalipwa sh 272million kwa miaka 5 tu. Wakati siamini kama kuna...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Mheshimiwa Rais tunakuombea sana kwenye majukumu yako!..Tunaiona dhamira yako ya dhati kwenye kuongoza taifa hili. Hilo la overinvoicing kwenye manunuzi ya dege la mizogo kule Boeing hao...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amezielekeza Taasisi zilizo chini ya Wizara yake zitoe mafunzo kwa wadau wake ili waweze kuelewa masuala mbalimbali zikiwemo...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Ndio, wachache wanafaidika na siasa ya Tanzania na wengi wakiitumikia kwa hasara, nayasema haya baada ya kujua wenzangu wanatajirika kupitia siasa bila jasho kumbe watu mnalipwa kupitiaha agenda...
0 Reactions
2 Replies
468 Views
Mahakama zetu zinajaa ukiritimba ambao unachukuwa muda kuisha. Kuna ucheleweshaji mkubwa wa kesi za muhimu kitaifa kuanzia kesi za kisiasa, kesi za kodi, kesi za ufisadi ni mahakama ndiyo...
1 Reactions
3 Replies
515 Views
CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemtaka Jaji wa Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), ambaye kwa sasa ni Jaji, Biswalo Mganga, wajiuzulu kupisha...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Wabunge wa Mkoa wetu wanafahamu kutumia fursa za kiuongozi? OMR ndiyo yenye dhamana na masuala ya mazingira nchini. Sasa Je tumeitumia vema Ofisi ya Mhe Isdory Mpango - Makamu wa Rais katka eneo...
1 Reactions
0 Replies
476 Views
Urais ni taasisi kubwa sana, unaotegemea sana utendaji wa idara mbalimbali. Idara hizo zisispofanya kazi vizuri, lawama zote zinaenda kwa Rais na Serikali nzima. Ukweli ni kwamba, hata kama...
20 Reactions
45 Replies
3K Views
Tetesi zimezagaa kuwa kuna mbunge Jirani na jimbo la Spika aliyejiuzulu amekasirishwa na tafsiri ya sheria hivyo atajiuzulu ili agombee tena kwa mujibu wa Katiba Inadaiwa mbunge huyo wa barabara...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya kuwasili kwa Makamu wa Rais wa Marekani nchini Tanzania hapo jana, ajenda kadhaa zinatarajiwa kuletwa mezani. Tanzania imekuwa haifungani na upande wowote ‘non-alignment’ kuhusu Vita...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Katiba pendekezwa ya Warioba, ilisema kuwa mawaziri wasiwe wabunge ili Rais awe na uwanja mpana wa kuwapata wasaidizi kwenye nafasi za uwaziri. Siku za nyuma, wakati wa utawala wa Mwalimu...
9 Reactions
18 Replies
942 Views
Ili taifa liendelee lahitaji wananchi na viongozi kuheshimu na kuziogopa sheria na wala sio kinyume chake" sheria kuogopa kundi fulani la watu(watawala ) Former security chief China ex-railway...
1 Reactions
4 Replies
570 Views
Nakumbuka kuna mtangazaji mmoja wa TBC alitulisha matangopori kuwa Trump kampongeza Magufuli. Baada ya muda mchache nikasikia muandishi huyo kapewa karipio kali na baadae akapewa udc. Baraka...
7 Reactions
148 Replies
7K Views
SERIKALI YASISITIZA KUEDELEZA SEKTA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO KUTOKANA NA MCHANGO WAKE KITAIFA NA KIMATAIFA. Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema kuwa...
0 Reactions
2 Replies
547 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…