Mama anaupiga mwingi maana yake nini? Ni ili CCM muibe kiulaini?

Trable

JF-Expert Member
Jan 3, 2023
1,783
3,281
Dhana ya mama anaupiga mwingi umefaa tu kwenye baadhi ya maeneo laini laini, msemo huu ungeenda sambamba na udhibiti wa pesa za walipa kodi nchi nzima tungeuimba wimbo huu.

Kwa mara ya kwanza na ya mwisho, tunawashauri CCM, waache kuimba huu wimbo unaozidi kuuwa uchumi wetu na wao kuufanya kama wimbo wa kimtego mtego ili wakwibe zaidi!

Baada ya wizi huu, ukitaka kujua CCM ni wanafiki, hawasemi tena kwamba Mama anaupiga mwingi!

Wana CCM ni majangili na yasiyo na huruma na mwananchi yoyote.

Mungu uishie milele, pitisha fimbo la maana kwa mafisadi haya.
 
Back
Top Bottom