Tetesi: Mbunge mmoja aliyepita bila kupingwa apanga kujiuzulu ili agombee upya kiushindani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,977
141,986
Tetesi zimezagaa kuwa kuna mbunge Jirani na jimbo la Spika aliyejiuzulu amekasirishwa na tafsiri ya sheria hivyo atajiuzulu ili agombee tena kwa mujibu wa Katiba

Inadaiwa mbunge huyo wa barabara ya Dodoma - Morogoro ana ushawishi mkubwa sana kwa Wapiga kura Jimboni Kwake

Ngoja tuone, ikumbukwe Rostam Aziz na Lazaro Nyalandu walishawahi kujiuzulu

Ramadan kareem!
 
Tafsiri ya Ile hukumu kubwa Sana ,Majibu 37 hayo yalikua yachadema huko ndo ukifatilia utakuta wagombea chadema walichofanyiwa siriyao
 
Tetesi zimezagaa kuwa kuna mbunge Jirani na jimbo la Spika aliyejiuzulu amekasirishwa na tafsiri ya sheria hivyo atajiuzulu ili agombee tena kwa mujibu wa Katiba

Inadaiwa mbunge huyo wa barabara ya Dodoma - Morogoro ana ushawishi mkubwa sana kwa Wapiga kura Jimboni Kwake

Ngoja tuone, ikumbukwe Rostam Aziz na Lazaro Nyalandu walishawahi kujiuzulu

Ramadan kareem!
Unamaanisha Serukamba?
 
Akijiuzulu hela za marudio ya uchaguzi achykue za mama yake... hatutaki kuchezea hela kama enzi za fashisti Jiwe.
 
Tetesi zimezagaa kuwa kuna mbunge Jirani na jimbo la Spika aliyejiuzulu amekasirishwa na tafsiri ya sheria hivyo atajiuzulu ili agombee tena kwa mujibu wa Katiba

Inadaiwa mbunge huyo wa barabara ya Dodoma - Morogoro ana ushawishi mkubwa sana kwa Wapiga kura Jimboni Kwake

Ngoja tuone, ikumbukwe Rostam Aziz na Lazaro Nyalandu walishawahi kujiuzulu

Ramadan kareem!
I doubt the authenticity of this story!. Hii itakuwa ni concocted story!.
P
 
Ile hukumu haijafuta matokeo ya uchaguzi wa 2020, imefuta vifungu vya sheria ya uchaguzi vilivyolalamikiwa kukiuka katiba.

Kwahiyo kuanza kurudia uchaguzi wa hayo majimbo 37 yatakuwa ni matumizi mabaya ya fedha za umma.

2025 ni ukurasa mpya.
 
Back
Top Bottom