Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha. Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea...
52 Reactions
126 Replies
8K Views
Mradi wa kuimarisha ubora wa elimu ya sekondari kwa njia mbadala (SEQUIP) umefanikiwa kusajili wasichana 3,616 kwa mwaka 2023 na 3,333 kwa mwaka 2022 wenye umri kati ya miaka 13 hadi 21...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliipa sekta ya afya kipaumbele maana anajua afya ndio msingi wa Maendeleo hivyo amejenga na kuboresha vituo vya afya maana aliahidi kusogeza huduma ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es salaam leo Machi 30, 2023 Rais Samia ameishukuru Serikali ya...
12 Reactions
177 Replies
12K Views
STEPHEN BYABATO NAIBU WAZIRI WA NISHATI AZINDUA MPANGO WA MIAKA MINNE WA MASUALA YA JINSIA WA TANESCO Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amezindua Mpango wa miaka minne wa masuala wa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii ilikuwa interview ikisikilizwa duniani kuhusu ujio wa makamu wa rais wa Marekani: Ama kwa hakika shughuli ipo. Labda itabidi kuomba mwongozo kufahamu ni sehemu ipi kama ipo tunayofanya...
17 Reactions
137 Replies
13K Views
Wabunge 19 wasio na chama na Wabunge 18 waliopita bila kupingwa. Ibara ya 66; Kutakuwa na aina zifuatazo za wabunge, 1. Wabunge wa kuchaguliwa majimboni. 2. Wabunge wanawake wa viti maalumu. 3...
22 Reactions
101 Replies
9K Views
Tunakumbushana tu Makamu wa Rais wa Marekani ameondoka hivyo sasa tunaweza kuendelea na mjadala mkuu wa Hoja za CAG na Ripoti yake. 1. Nani waliongeza cha juu kwenye ununuzi wa Ndege? 2. Nani...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Tundu Lissu anajua kutoka moyoni kwa uhakika kabisa kwamba Magufuli hakuhusika na shambulio lake lkn kwa kuahidiwa hela akakubali kulichafua Jina la Magufuli kwa kumsakizia mambo ya uongo...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Kipindi cha magufuli Zitto Kabwe na kijana wake Ado Shaibu walijinasibu sana kuichambua report ya CAG na wakaja na madudu ya 1.5 t kuwa zimopotea na hazijulikani ziliko na walijinasibu kweli, kwa...
1 Reactions
9 Replies
886 Views
MBUNGE MHE. TIMOTHEO MNZAVA AJIKITA KUTATUA KERO ZA WANANCHI WA KOROGWE VIJIJINI Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhe. Timotheo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vitendawili vya fedha za plea burgain na fedha zilizotokana na kufungwa au kukwapuliwa huko kwenye maduka ya kubadilisha fedha bado kuteguliwa ingawa zile za Biswalo walau GAG amenusa. Fedha...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Kila jambo linapotokea kwenye mwelekeo wa maisha ya mtu, kawaida huwa linaleta fundisho la mbele yake ya safari. Elimu ya maisha wakati mwingine huhusisha pia, misukosuko, kufiwa n .k hii yote...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mliojidai kuua legacy ya Magufuli mpo? Ukosefu wenu wa akili umesababisha mlie kila mnapoiona legacy ikimeremeta. [emoji116] Morogoro. Kina cha maji katika Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Ushirikishwaji wa wananchi ni mchakato wa kuwahusisha na kuwashirikisha wananchi moja kwa moja katika maamuzi ya serikali na mipango ya maendeleo. Hapa kuna baadhi ya faida za ushirikishwaji wa...
0 Reactions
0 Replies
549 Views
RIDHIWANI AELEKEZA BARUA ZA MASUALA YA KIUTUMISHI KUJIBIWA KWA WAKATI KUEPUKA MALALAMIKO YASIYO YA LAZIMA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
MPANGO KABAMBE; TAIFA LITAMBE! Anaandika, Robert Heriel Mastermind Ilisemwa taifa ili liendelee linahitaji mambo makuu manne, i) Watu ii) Ardhi iii) Siasa Safi iv) Uongozi Bora. Hayo yalikuwa...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuhusu deni la serikali muhimu zaidi ni Elimu kulihusu ili kutoa dhana kwamba serikali huwa inakopa ili kununua V8. Well Kimsingi kabisa deni la serikali hutokana na maeneo makuu 3 ambayo ni. 1...
1 Reactions
1 Replies
597 Views
Ni mara ngapi tumeona clip na picha zikionesha wakulima wakilia kwa kukosa masoko ya mazao yao. *Tushaona nyanya zinauzwa debe sh 500/= na parachichi zikioza huko Iringa. *Tushaona mahindi...
22 Reactions
149 Replies
9K Views
Kilichoandikwa hapa ni mawazo binafsi haina uhusiano na siasa wala haiwakilishi upande wowote/kundi la watu! Tanzania tunaelekea milioni 60 kwa makadilio (sensa itajibu ufasaha). Lakini katika...
20 Reactions
24 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…