CCM tujifunze kutoka kwa CCP ya China

CCM tujifunze kutoka kwa CCP ya China

winnerian

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
407
Reaction score
638
Wenzangu wa CCM tujifunze kutoka kwa CCM mwenzetu wa China. Yeye yupo kwa maslahi ya China kwa 100% lakini sisi wengi wetu kwa 100% wapo kwa maslahi yao.

Tukutane tukae tuunde mfumo wa kudhibiti rushwa ndani ya chama. Tupate viongozi waadilifu na wenye kuisimamia nchi isonge mbele. Tuache kujiona tukishaweza kuwanyamazisha wapinzani ndiyo maendeleo wakati bado safari ni ndefu.

Kidumu chama cha mapinduzi.

Wenu MNEC wa maendeleo.
 
Wenzangu wa CCM tujifunze kutoka kwa CCM mwenzetu wa China. Yeye yupo kwa maslahi ya China kwa 100% lakini sisi wengi wetu kwa 100% wapo kwa maslahi yao...
CCM kimekuwa chama cha madalali! Kimsingi waliopo CCM kwa lengo la kuihishi falsafa ya chama ni wachache sana, na ndiyo ao kama wakina Bashiru ambao mwisho wa siku mnawaona wabaya kwasababu yakufuata misingi ya CCM.
 
Ushauri wako ni mzuri japo umeutoa kwa watu wasio sahihi (wanaccm).

Ni ngumu Sana kutenganisha ufisadi na ccm.
 
Back
Top Bottom