Haya Maridhiano ni ya CCM kujipendekeza kwa CHADEMA? Mbona Lissu anaisimanga sana CCM kwamba mambo ni yale yale?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,870
Nilitegemea baada ya kuingia kwenye Maridhiano viongozi wakuu wa CCM na Chadema wangekuwa wanatoa kauli za kujenga siyo kubomoa.

Lakini ni viongozi wa CCM Ndio wamekuwa watulivu pamoja na Mbowe pekee kwa upande wa Chadema.

Kauli za Tundu Lisu na Mnyika zimekuwa za Utata sana.

Juzi Mnyika kazungumzia Muswada wa Katiba Mpya unaoepelekwa bungeni huku akitoa tahadhari kadhaa kana kwamba hakuna Maridhiano.

Tundu Lissu naye kashuka tu kwenye Ndege na Kuanza kuishambulia CCM kwamba ina Watu walewale wanaofanya mambo yaleyale na kwamba CCM imefeli.

Niwape tu angalizo viongozi wa Chadema wasisahau kuwa CCM ni Chama kikubwa sana.

Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele!
 
Nilitegemea baada ya kuingia kwenye Maridhiano viongozi wakuu wa CCM na Chadema wangekuwa wanatoa kauli za kujenga siyo kubomoa

Lakini ni viongozi wa CCM Ndio wamekuwa watulivu pamoja na Mbowe pekee kwa upande wa state

Kauli za Tundu Lisu na Mnyika zimekuwa za Utata sana

Juzi Mnyika kazungumzia Muswada wa Katiba Mpya unaoepelekwa bungeni huku akitoa tahadhari kadhaa kana kwamba hakuna Maridhiano

Tundu Lisu naye kashuka tu kwenye Ndege na Kuanza kuishambulia CCM kwamba ina Watu walewale wanaofanya mambo yaleyale na kwamba CCM imefeli

Niwape tu angalizo viongozi wa Chadema wasisahau kuwa CCM ni Chama kikubwa sana

Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele!
Yaani ni Ccm na Mbowe tu ndio wamekuwa watulivu. Mwisho wa kunukuu. It smells fishy isn’t?
 
Uje na wazo lako ,Toka umeaza kusikia taarifa za CAG kunamabadiliko , usishangae unavoambiwa yaleyale ,wale wale
 
Nilitegemea baada ya kuingia kwenye Maridhiano viongozi wakuu wa CCM na Chadema wangekuwa wanatoa kauli za kujenga siyo kubomoa

Lakini ni viongozi wa CCM Ndio wamekuwa watulivu pamoja na Mbowe pekee kwa upande wa Chadema

Kauli za Tundu Lisu na Mnyika zimekuwa za Utata sana

Juzi Mnyika kazungumzia Muswada wa Katiba Mpya unaoepelekwa bungeni huku akitoa tahadhari kadhaa kana kwamba hakuna Maridhiano

Tundu Lisu naye kashuka tu kwenye Ndege na Kuanza kuishambulia CCM kwamba ina Watu walewale wanaofanya mambo yaleyale na kwamba CCM imefeli

Niwape tu angalizo viongozi wa Chadema wasisahau kuwa CCM ni Chama kikubwa sana

Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele!
Muulize Jiwe akusimulie .

JamiiForums1327454580.jpg
 
Nilitegemea baada ya kuingia kwenye Maridhiano viongozi wakuu wa CCM na Chadema wangekuwa wanatoa kauli za kujenga siyo kubomoa.

Lakini ni viongozi wa CCM Ndio wamekuwa watulivu pamoja na Mbowe pekee kwa upande wa Chadema.

Kauli za Tundu Lisu na Mnyika zimekuwa za Utata sana.

Juzi Mnyika kazungumzia Muswada wa Katiba Mpya unaoepelekwa bungeni huku akitoa tahadhari kadhaa kana kwamba hakuna Maridhiano.

Tundu Lisu naye kashuka tu kwenye Ndege na Kuanza kuishambulia CCM kwamba ina Watu walewale wanaofanya mambo yaleyale na kwamba CCM imefeli.

Niwape tu angalizo viongozi wa Chadema wasisahau kuwa CCM ni Chama kikubwa sana.

Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele!
Maridhiano yamempaisha mwenyekiti wa CCM na rais kimataifa, rejea kauli za Kamala Harris na jumuia na mashirika ya kimataifa.
Maridhiano haya yameleta misaada na mikopo ambayo serikali ya CCM inatamba nayo kwenye miradi inayo endelea nchini.
Kwa manufaa hayo hawajali kauli za Lissu na Mnyika wanajua miradi hiyo itawabeba uchaguzi ujao.
 
Nilitegemea baada ya kuingia kwenye Maridhiano viongozi wakuu wa CCM na Chadema wangekuwa wanatoa kauli za kujenga siyo kubomoa.

Lakini ni viongozi wa CCM Ndio wamekuwa watulivu pamoja na Mbowe pekee kwa upande wa Chadema.

Kauli za Tundu Lisu na Mnyika zimekuwa za Utata sana.

Juzi Mnyika kazungumzia Muswada wa Katiba Mpya unaoepelekwa bungeni huku akitoa tahadhari kadhaa kana kwamba hakuna Maridhiano.

Tundu Lisu naye kashuka tu kwenye Ndege na Kuanza kuishambulia CCM kwamba ina Watu walewale wanaofanya mambo yaleyale na kwamba CCM imefeli.

Niwape tu angalizo viongozi wa Chadema wasisahau kuwa CCM ni Chama kikubwa sana.

Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele!
Wizi wa sasa hata mama keshaukataa ndiyo maana kasema wote waliotuhumiwa na CAG wapishe uchunguzi
 
Anajibaraguza tu kwa kuwa anataka chupa kubwa la asali, we subiri akatiwe mshiko wake uone kama atasema neno kama siyo kuimba mapambio tu.
Cheza na asali wewe!
 
Wapigie simu 0652627771 Athumani na Selemani 0715132277 ndiyo wenye kujua mambo yote yanayoendelea Nchini kwani wapo karibu na chadema na pia wapo karibu sana na CCM, watakufafanulia vizuri kwa uwazi
 
Back
Top Bottom