USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,218
- 28,928
Spika tulia anahitimisha kuwa bwawa liko pwani baada ya mzozo wa muda mrefu bungeni kuwa bwawa liko wapi?
Mvutano wa WABUNGE wa mkoa wa pwani, Morogoro na lindi kutaka kuvutia kwao lilipo bwawa la Nyerere
Mzozo wa wapi lilipo bwawa la Nyerere la umeme huko bungeni kati ya spika wa bunge na mbunge kusauka wa Liwale wapi lilipo bwawa la mwalimu Nyerere
Je lipo Lindi?
Je lipo Morogoro?
Je lipo pwani?
Kwa mujibu wa ramani ya kidunia bwawa hilo lipo mkoa wa Morogoro