Ikumbukwe kwamba Yuda Iskarioti alikuwa Ndugu wa Yesu waliotoka kabila na eneo Moja
Yuda Iskarioti licha ya sifa kuu ya Usaliti lakin alikuwa ni Mwizi wa Hazina ya wale thenashara
Nimemsikia...
Amesikika waziri Mwigulu kuwa hazina yetu iko salama na zaidi sana Iko mikono salama:
Kwa mwendo huu waziri Mwigulu analenga kusema nini hasa?
Na kadhalika na kadhalika hadi chefu.
Serikali ya Rais Museven imeweza angalau kumfikisha waziri mahakamani kwa wizi.
Kwa mbiringe zinazoendelea bungeni na nje ya bunge kwa ripoti ya CAG na kashifa za wizi wa mali za umma namuomba...
Mbunge wa zamani wa Nyamagana kupitia CHADEMA EZEKIEL WENJE amenukuliwa akisema kuwa kama Rais wa Awamu ya Tano, Marehemu Dkt John Pombe Magufuli angekuwa hai basi asingekubali hali aliyoiita...
Upo wajibu wa Rais, wajibu wa Makamu wa Rais, waziri mkuu, Mawaziri, wabunge, spike na wananchi. Hivyohivyo kwenye ngazi ya familia uko wajibu wa baba, wajibu wa mama na wajibu watoto. Kila...
08 April 2023
Tunduma, Tanzania
BARAZA LA MADIWANI TUNDUMA LAWAMANI KWA KUUA UCHUMI
Baraza la Madiwani linaloongozwa na CCM la mji wa Tunduma walaumiwa kuua mzunguko wa biashara na uchumi wa...
Unaweza kukuta Rais anatamani kupata Mawaziri wapya lakini atawatoa wapi?
Kiukweli kwenye Katiba Mpya Mawaziri wasiwe wabunge kama ilivyo Kenya
Mlale unono!
Kauli ya Mbunge wa CCM Mh. Festo Sanga yapingwa vikali.
BAWACHA yasisitiza kuwa CHADEMA inaongozwa na katiba hivyo mbunge wa CCM Mh. Festo Sanga atulie na kuacha propaganda katka kikao cha bunge...
Haiwezekani Mtanzania aibe mabilioni ya Watanzania wenzake, hata chembe ya huruma haipo kwa Tanzania hii maskini.
Naongea kwa huzuni mno, Watanzania wenzetu wanatusaliti kwenye hii vita ya...
Kila jambo lipo bayana sasa kubwa yeye ndio kuidhinishaji mkuu ,yeye ndio ameleta haya kwa kauli zake
'kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake 'kauli ya kuchochea wizi na ufisadi.
"Kulamba asali "...
Walimsema sana Sabaya kuwa aliua watu, alitesa watu, aliteka mali za watu. Leo hii umekosekana ushahidi wa kueleweka wa kumfunga.
Mdogo wangu Makonda ndo alisingiziwa mengi sana. Mpaka...
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22, imebaini hundi zilizochacha zenye thamani ya Sh352.12 milioni zilitolewa na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads)...
Kupitia ukagauzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2021/2022 imebainika kuwa Vyura 500 bado wapo Marekani licha ya kumalizika kwa mkataba wa matunzo...
Ikumbukwe kuwa mh Kambaya wa Chadema ndio kapewa jukumu maalumu la kukiimarisha Chama kanda maalumu ya Mwambao wa Bahari ya Hindi
Sasa mh Kambaya ukiisoma Ripoti ya CAG utagundua Mawaziri kutoka...
Naomba kuchukua nafasi hii kuandika kwa kifupi kabisa ombi moja kwa niaba ya watanzania.
Nakuomba Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia tafadhali wachukulie hatua za kisheria wote wanaohusika na...
Wizara ya ujenzi inaweza kuandaa mkakati wa kuibua wakandarasi wadogo, hasa wanaomaliza vyuo na kuwa na uzoefu ambao wataona unafaa.
Wawatake kuunda kampuni, na wawape kipaumbele Cha tenda za...
Ukisikiliza wanasiasa unaweza kubaki Midomo wazi
Shule yenye wanafunzi 700 kuwa na Walimu watatu hii maana yake walimu wanachokifanya ni kugeuka maaskari. Tu kuhakikisha wanafunzi wanalindwa ili...
Wiki iliyopita nilienda ofisi za CHADEMA pale Ufipa Kinondoni kuonana na kiongozi fulani katika masuala ya kumjenga kiuongozi, siasa sio uadui.
Basi baada ya muda nikaomba niende washroom kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.