Mawaziri wa Ukanda wa Pwani ndio wameelemewa na Ubadhirifu ulioripitiwa na CAG. Kambaya wa CHADEMA anza na hawa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,640
142,991
Ikumbukwe kuwa mh Kambaya wa Chadema ndio kapewa jukumu maalumu la kukiimarisha Chama kanda maalumu ya Mwambao wa Bahari ya Hindi

Sasa mh Kambaya ukiisoma Ripoti ya CAG utagundua Mawaziri kutoka Tanga, Pemba, Unguja, Pwani na Lindi ndio wamemulikwa zaidi na CAG kwa Ufisadi mkubwa ulifanyika Kwenye Taasisi wanazosimamia

Tafadhali mh Kambaya Washa moto na tuuone kweli unawaka kipetroli siyo kiasali

Sabato Njema!
 
Wote waislamu walipewa uwaziri kwa sababu ya dini ,eti dini ya haki ,iko Wapi?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikumbukwe kuwa mh Kambaya wa Chadema ndio kapewa jukumu maalumu la kukiimarisha Chama kanda maalumu ya Mwambao wa Bahari ya Hindi

Sasa mh Kambaya ukiisoma Ripoti ya CAG utagundua Mawaziri kutoka Tanga, Pemba, Unguja, Pwani na Lindi ndio wamemulikwa zaidi na CAG kwa Ufisadi mkubwa ulifanyika Kwenye Taasisi wanazosimamia

Tafadhali mh Kambaya Washa moto na tuuone kweli unawaka kipetroli siyo kiasali

Sabato Njema!
Ngoja waje
 
Kwamba Hilo ongezeko la ununuzi WA ndege limetokea pwani.???
 
Hukuona chochote cha kujadili dhidi yao ukaona dini zao tu basi? Ukiona Karen ya 21 mtu anajadili jadili dini jua huyo ni mpumbavu kama wewe.
Sio mpumbavu tu ila ni mlemavu wa akili aliyetakiwa kuwa hospital muda huu lakini yupo uraiani kuandika ujinga
 
Kwahiyo mawaziri Wakristo sio wezi? tulikuwa na PM hapa Mkristo mpaka alijiuzulu kwa kashfa za upigaji, ebu jadili hoja acha kelele za kitoto
Watu wa pwani walimuona tishio kwa uwezo wake wakamtengenezea zengwe.nipe ORODHA ya walijiuzulu kwa ishu ya Richmond nikupe idadi ya wavaa kobazi pale

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa pwani walimuona tishio kwa uwezo wake wakamtengenezea zengwe.nipe ORODHA ya walijiuzulu kwa ishu ya Richmond nikupe idadi ya wavaa kobazi pale

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu afanye ufisadi wake usingizie watu wengine? Dr Mwakyembe alikuwa mtu wa Pwani kumbe aliefanya uchunguzi wa ile kashfa?
 
Unajiona sasa ulivyo kilaza sasa mwakyembe ndio alikuwa mwizi au mchunguzi kihande wewe

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kujizima data , Lowasa alijiuzulu baada ya Mwakyembe na kamati yake kuja na majibu ya uchunguzi , sasa nakuuliza Mwakyembe alikuwa mtu wa pwani? hakuna cha kusingiziwa wala nini Lowasa alikuwa mwizi kama wezi wengine na alikuwa Mkristo
 
Ikumbukwe kuwa mh Kambaya wa Chadema ndio kapewa jukumu maalumu la kukiimarisha Chama kanda maalumu ya Mwambao wa Bahari ya Hindi

Sasa mh Kambaya ukiisoma Ripoti ya CAG utagundua Mawaziri kutoka Tanga, Pemba, Unguja, Pwani na Lindi ndio wamemulikwa zaidi na CAG kwa Ufisadi mkubwa ulifanyika Kwenye Taasisi wanazosimamia

Tafadhali mh Kambaya Washa moto na tuuone kweli unawaka kipetroli siyo kiasali

Sabato Njema!
Rais ni mpwani mwenzao,wanakula kwa ruksa
 
Endelea kujizima data , Lowasa alijiuzulu baada ya Mwakyembe na kamati yake kuja na majibu ya uchunguzi , sasa nakuuliza Mwakyembe alikuwa mtu wa pwani? hakuna cha kusingiziwa wala nini Lowasa alikuwa mwizi kama wezi wengine na alikuwa Mkristo
Unaona ulivyo kichwa mavi so mwakyembe naye alikuwa fisadi,hujui hata mchunguzi alikuwa nani mchuzwa alikuwa nani , nimekeambia leta idadi ya mawaziri waliojiuzulu nikutajie wavaa kobazi wenzako

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kujizima data , Lowasa alijiuzulu baada ya Mwakyembe na kamati yake kuja na majibu ya uchunguzi , sasa nakuuliza Mwakyembe alikuwa mtu wa pwani? hakuna cha kusingiziwa wala nini Lowasa alikuwa mwizi kama wezi wengine na alikuwa Mkristo
Kwani Lowassa alihojiwa na huyo Mwakyembe?
 
Back
Top Bottom