BAWACHA Jimbo la Kinondoni Yamjibu Mbunge Festo Sanga wa CCM

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
20,954
23,681

Kauli ya Mbunge wa CCM Mh. Festo Sanga yapingwa vikali.

BAWACHA yasisitiza kuwa CHADEMA inaongozwa na katiba hivyo mbunge wa CCM Mh. Festo Sanga atulie na kuacha propaganda katka kikao cha bunge kinachoendelea mjini Dodoma bali ajikite kujadili mambo ya maana kwa wananchi.

Ndugu Festo Sanga wakati akichangia hoja Bungeni kwamba, nanukuu, "Haiwezekani chama kikubali ruzuku lakini kiwakatae wabunge wake".
 
Sanga.ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu hapo mjengoni,badala ya kujadili ubadhirifu ulioanishwa kwenye report ya CAG anawashwa washwa na mambo ya Chadema, chupidi kabisa huyo sanga.
 
Waache kutapatapa kutetea ujinga, Mbowe alisema vyote vilivyopatikana kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 ni haramu hatachukua. Imekuwaje? Gia za angani?
 
Mbunge huyo mjinga sana hajui kua idadi yawapiga kura iliyopata kwenye uchaguzi pia nikigezo cha kupata ruzuku si wabunge tu.
 
Waache kutapatapa kutetea ujinga, Mbowe alisema vyote vilivyopatikana kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 ni haramu hatachukua. Imekuwaje? Gia za angani?
mashoga mliletewa tetez la mashoga ikulu limeondoka sasa ni wakati wenu wa kuendeleza ushoga huko ccm maana hicho ndo mnachoweza, hata wiz wa mabillion ya report ya CAG kwenu ni kina kirefu.
 
Waache kutapatapa kutetea ujinga, Mbowe alisema vyote vilivyopatikana kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 ni haramu hatachukua. Imekuwaje? Gia za angani?
Sukuma Gang kama vipi rudini kwenu Burundi au mfuateni yule juha wenu huko kuzimu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom