CHADEMA, zingatieni usafi wa Ofisi (Makao Makuu)

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,200
27,250
Wiki iliyopita nilienda ofisi za CHADEMA pale Ufipa Kinondoni kuonana na kiongozi fulani katika masuala ya kumjenga kiuongozi, siasa sio uadui.

Basi baada ya muda nikaomba niende washroom kidogo kwa ajili ya short call, nilichokutana nacho nilibaki na mshangao mkubwa sana, sikuamini macho yangu.

Ni kweli chama mmekijenga mioyoni, lakini usafi ni muhimu sana. Tatizo nini? Bado nashindwa kuelewa bwana afya ameshindwa vipi kuwachukulia hatua?

Wala siongei sana, jionee mwenyewe hapo chini kwenye picha.

20230321_213105.jpg
20230404_100946.jpg
20230404_101045.jpg

 
Back
Top Bottom