Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dkt. Philip Mpango, Makamu wa Rais wa Tanzania amesema “Malengo makuu ya dira ya Mwaka 2025, Maisha bora kwa kila Mtanzania, Kudumisha amani, usalama na umoja katika Nchi, Utawala bora, Jamii...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
Baada ya report ya CAG kuweka wazi wizi na madudu yanayoendelea huko serikalini, Kiongozi makini na mzalendo alipaswa kukaa pembeni kupisha uchunguzi. Lakini tujiulize, Kiongozi aliyeteleza kwa...
3 Reactions
16 Replies
854 Views
Mijadala inaendelea kila mahali sasa hivi watu wakijadili yale yalioandikwa kwenye Ripoti ya CAG. Kwa sehemu kubwa yanayojadiliwa ni madudu yaliyoko kwenye taasisi za umma. Jambo la kufurahisha...
1 Reactions
4 Replies
855 Views
Taifa lolote duniani linajengwa na watu wenye Historia, maono, tamaduni zenye nguvu na lugha inayowaunganisha pamoja. Tangu taifa letu lizaliwe umaarufu wetu ni nini kama taifa, watu wetu wana...
2 Reactions
3 Replies
418 Views
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameilalamikia Serikali ya mkoa wa Mara kwa kutomshirikisha katika zoezi la uwekaji wa vigingi vya mipaka katika hifadhi ya Serengeti. Waitara...
10 Reactions
111 Replies
14K Views
Nimejiuliza sana nimeumia sana. Mwal. Anayedai mapunjo ya mshahara wake wa miezi 5 toka mwaka 2016 hajalipwa. Riport ya CAG inataja kiasi kingi cha fedha kupotea ama kuliwa na watu. Rais analia...
3 Reactions
14 Replies
780 Views
Kenya kwa mara ya kwanza imeshindwa kulipa watumishi wa umma mishahara yao ya mwezi March tangu nchi hio ipate uhuru
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu nipo gizani. Pasaka ni siku gani na tarehe ngapi?
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Neno "kugwaya" lina maana sawa kabisa na neno "kuufyata". Neno hili asili yake ni mkoa wa Kigoma. Mama alipoingia tu ikulu akapewa taarifa za upigaji wa mabilioni ya shilingi pale BoT akaunde...
32 Reactions
97 Replies
5K Views
Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini EFF kimepokea kwa mikono miwili hatua ya kukamatwa kwa Raia watatu wa Afrika Kusini ambao mmoja wa ni Thabo Bester maarufu kwa jina la ‘Mbakaji wa...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Kwa tunapoelekea umoja wa vijana unaongoza vijana wa chama tawala utageuka kuwa bendera fuata upepo ..yaani ule ushauri wa dhati kwenye maslahi ya vijana nchini morali yake ipo chini sana...
0 Reactions
0 Replies
513 Views
Mh. Rais Dkt. Samia, Kwanza naomba unisamehe kwa lugha ngumu nitakayoitumia hapa ili kukufikishia ujumbe huu kwa niaba ya mamilioni ya Watanzania. Nikurejeshe siku uliokula kiapo pale Ikulu ya...
23 Reactions
57 Replies
4K Views
Mzee wetu Majaliwa kwa kweli ndio C.E.O, kwa maana ya mtendaji mkuu wa serikali. Kwa nini madudu haya yanatokea na yeye akiwepo? Ameshindwa kusimamia shughuli za serikali? Bunge linatakiwa...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Waswahili walisema kusikia kwa kenge ni tofauti sana na viumbe wengine wote: Hata sisi hatuna namma nyingine kama ni nia yetu ya dhati kusikika. Kwamba ni ripoti za CAG? Kwamba ni wahalifu...
9 Reactions
61 Replies
3K Views
Wakili wa Sabaya, Mh Mahuna amesema Sabaya alikiri kosa la uhujumu uchumi na hivo kwa mujibu wa makubaliano ya Plea Bargaining Sabaya anapaswa kumlipa Alex Swai kwa niaba ya mdogo wake Tsh...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, hii ni Nchi yetu sote. Kwa aina ya Wabunge hawa tulio nao sasa, kamwe hatutakuja kupata maendeleo ya kweli. Ebu fikiri, Mbunge anapewa dakika 10 za kuchangia hoja Bungeni...
11 Reactions
23 Replies
1K Views
Ameandika Patrick John Asenga, Kada wa Chadema kwenye Mtandao wa Twitter “Huu ndio ukweli..... Kimsingi hakuna jina lingine unaloweza kuiita SEREKALI hii ya CCM chini ya Rais Samia zaidi ya...
6 Reactions
68 Replies
3K Views
Mbunge wa Simanjiro,. Ole Sendeka leo bungeni amemtetea RAIS Samia Suluhu Hassan kuwa hahusiki na ufisadi wa ripoti ya CAG akipiga kauli ya Waziri Mwigulu aliyejaribu kumhusisha rais na wizi huo...
1 Reactions
9 Replies
968 Views
Back
Top Bottom