Mke wa Rais wa zamani Marekani na Mgombea Urais wa Marekani mwaka 2016, Hillary Clinton, anafurahishwa na Kazi Kubwa inayofanywa na Rais Dkt. Samia Sulunu Hassan ya kuwaletea watanzania maendeleo...
Hizo Ndio kumbukumbu za kipekee Kabisa Katika historia ya Bunge letu na kwingineko duniani alizotuachia Spika mstaafu mh Ndugai
Kiufupi mzee Ndugai ndiye aliyeuwa Demokrasia ya vyama vingi na...
Ndugu zangu Watanzania,
Hatimaye kauli ya kijasiri kutoka kwa kiongozi Jasiri na mwenye maono mh Rais Dr Mama Samia Suluhu Hassan imeshika mizizi na kumea katika mioyo ya watanzania,kauli hii...
Nikuulize swali Profesa,
Umesema Tanzania inaagiza tani 68.7 Za nyama ya Kitimoto kwa mwaka. Hiyo kitimoto mnaagiza kutoka nchi gani?
Je, Zanzibar na Pemba ni Sehemu ya Tanzania, walipokea tani...
Wanasiasa wa nchi hii baada ya kuona upepo hauko upande wao, wananchi wanamuenzi alie kuwa Rais wetu mpendwa na kipenzi cha mioyo yetu. Wameungana CCM na CDM ili tu walambe asali za nchi hii...
Kwa sasa imekuwa kawaida Tanesco kuzima umeme kila wanapojisikia.
Hapa Shinyanga tangu Waziri Profesa Muhongo hadi wakati wote wa Magufuli, hatukuwahi kuwa na matatizo ya umeme kama sasa.
Hali...
Habarini wadau,
Nimeona watu mtandaoni wakilalamika kuwa serikali ifunge mipaka ili wakulima tukose sako, na mazao yetu yashuke bei.
Namuomba Rais asikubali na hii hoja, sababu hivi sasa...
Hoja ya kuligawa Jimbo la mbeya yawe 2, ni uoga na kumvimbisha kichwa Sugu. Jimbo la Mbeya halina idadi ya wakazi wengi kihivyo kama ulivyoeleza, na ni dogo Sana ukilinganisha na majimbo mengine...
Lema ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema aliwaonya Wananchi kuhusu Fedha wanazopeleka kwa manabii.
Mchungaji Msigwa naye akasema Baadhi ya wachungajj hugeuza makanisa yao kuwa vitega Uchumi...
Tarehe 04 August 1962 kilitokea kifo tata cha muigizaji Mrembo kule Marekani, Marylin Monroe.
Kifo hiki kilizua utata mno ila Majasusi wa FBI walijitahidi hadi Marehemu akazikwa na ikawa mwisho...
Wanaharakati vita yetu si ya damu na nyama,bali ni ya kutumia maarifa na ufahamu.
Dua yangu
''Ee ulimwengu nifundishe niwe na maarifa,niendeleze akili yangu ili nipate hekima.''
Tanganyika...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel atakuwa mubashara kesho Jumatatu Mei 08, 2023 kwenye kituo cha Azam TV kueleza maboresho makubwa kwenye sekta ya Afya.
Usikose kutazama UTV katika kipindi...
Akiwa kwenye mahojiano pale TBC pamoja na Zitto Kabwe yule mzee Wassira alishasema msimamo kwamba Bila Serikali 2 hakuna Katiba mpya.
Hivyo ni vema mzee Wassira na Watu wa aina yake wasiwemo...
Hawa wanawake sijui walisoma wapi baada ya vagalanti la magereza nilijua wamekua kiakili.
Baraza la wanawake wa Chadema limepanga kufanya maandamano kutaka wabunge 19 wa baraza hilo waondolewe...
Leo nimeona kupitia youtube kuwa BAWACHA wanatarajia kufanya maandamano dhidi ya Mhe. Spika kuendelea kwa kuwakumbatia Wabunge batili wa CHADEMA 19.
Binafsi kama raia mwema wa Tanzania na...
Leo tunafanya mapitio ya sura ya tatu ya kitabu hicho inayoitwa ‘The Dilemma of I am a State’, ambayo kwa tafsiri isiyo rasmi ni ‘Mtanziko wa 'Mimi Ndiye Dola'.
Kitabu kinaianza sura hiyo kwa...
Awali ya yote nichukue nafasi hii kuipongeza Serikali kwa juhudi kubwa iliyofanywa kuondoa au kupunguza upendeleo katika nafasi za kazi serikalini kwa kuunda chombo kimoja kitakacho simamia ajira...