Legacy ya Ndugai: Kumfukuza Lissu, Kumrejesha Cecil Mwambe, Kumchunguza CAG na Kuwaapisha Wabunge koridoni!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,975
141,986
Hizo Ndio kumbukumbu za kipekee Kabisa Katika historia ya Bunge letu na kwingineko duniani alizotuachia Spika mstaafu mh Ndugai

Kiufupi mzee Ndugai ndiye aliyeuwa Demokrasia ya vyama vingi na aliwakumbatia mafisadi kwa kumdhibiti CAG Prof Assad

Alichofanikiwa mzee Job ni kuwaachia Wabunge Urithi wa Vishikwambi

Jumaa kareem!
 
Duh 🙄!! Leo umeamua kweri kweri !!
 
Watu "bogus" kama Ndugai au Bwana yule huwa ni mipango ya Mwenyezi Mungu mpaka wanafikia kuwa na nyadhifa za juu.

Hiyo hutokana na sisi binaadam kutokuona mazuri ya tuliokuwa nao.

Watu humu walikuwa wanamponda Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania, Jakaya Kikwete, wakawa wanamponda na Anna Makinda. Mwenyezi Mungu akatupa mtihani, akatuletea Magufuli na Ndugai tujifunze.

Sasa tuna Rais mwema kabisa mama Samia, tumuenzi na tumshukuru Mungu kwa kutujaalia, tusije kupigwa na mtihani mkubwa zaidi ya wa bwana yule.

Allah muondolee husda, mpe afya, muongezee na busara Rais wetu mama Samia. Tunakyomba Allah mama Samia In Shaa Allah awe Rais 2025 na 2030.
 
Watu "bogus" kama Ndugai au Bwana yule huwa ni mupango ya Mwenyezi Mungu mpaka wanafikia kuwa na nyadhifa za juu.

Hiyo hutokana na sisi binaadam kutokuona mazuri ya tuliokuwa nao.

Watunhumu walikuwa wanamponda Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania, Jakaya Kikwete, wakawa wanamponda na Anna Makinda. Mwenyezi Mungu akatupa mtihani, akatuletea Magufuli na Ndugai tujifunze.

Sasa tuna Rais mwema kabisa mama Samia, tumuenzi na tunshukuru Mungu tukaja kupigwa na mtihani mkubwa zaidi ya wa bwana yule.

Amina
 
Sura yako iwekwe kwenye sarafu ya shilingi 500
 
Watu "bogus" kama Ndugai au Bwana yule huwa ni mpango ya Mwenyezi Mungu mpaka wanafikia kuwa na nyadhifa za juu.

Hiyo hutokana na sisi binaadam kutokuona mazuri ya tuliokuwa nao.

Watu humu walikuwa wanamponda Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania, Jakaya Kikwete, wakawa wanamponda na Anna Makinda. Mwenyezi Mungu akatupa mtihani, akatuletea Magufuli na Ndugai tujifunze.

Sasa tuna Rais mwema kabisa mama Samia, tumuenzi na tunshukuru Mungu tukaja kupigwa na mtihani mkubwa zaidi ya wa bwana yule.

Allah muondolee husda, mpe afya, muongezee na busara Rais wetu mama Samia. Tunakyomba Allah mama Samia In Shaa Allah awe Rais 2025 na 2030.
Hakika umene vyema wewe kwa kweli Ni great thinker sijui kwann watu huwa wanakuchukulia POA

Huku Kuna mijitu hawaelewi hat ufanyaje
 
Back
Top Bottom