Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameeleza wapi alipo Dereva wake Adam Bakari ambaye alikuwa naye wakati aliposhambuliwa kwa kupigwa Risasi na watu...
Hii ilikuwa salamu tu ya Mh Lissu alipotua kwenye soko la Sabasaba huko Dodoma .
Mungu ibariki Chadema
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa haukuwa wa Hayati John Magufuli pekee, bali na uongozi wa chama chake- Chama cha Mapinduzi...
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara ametoka nje ya ukumbi wa Bunge huku akivua koti na tai yake baada ya kuonesha kutoridhidhishwa na majibu ya Serikali Bungeni wakati wa kipindi cha maswali...
Mjadala unaendelea na za uso kama Kawa
Hapo awali Mdee alimuita waziri Bashe mwongo na anadanganya watu kuhusu BBT sasa kwa sasa waziri ana round up amempa za uso mpaka akachakaa
Fuatilieni...
Taasisi ya taifa ya mazingila, nawapongeza kwa kuzuia kelele mitaani
Ulikuwa ni ujinga mtupu uliokuwa unapiga kelele kwenye mabaa mitaani. Ila nawalaumu NEMC kuufanya uzembe wa muda mrefu wakati...
Katika msimu wa kilimo wa mwaka huu kumekuwapo na ulanguzi wa mbolea ya ruzuku.
Mfano hai ulanguzi huu unafanyika katika Mtaa wa Lumumba hapa Mwanza ambapo mbolea ya kilo 50 ya CAN na UREA bei...
Hapa jamaa yuko mbele sana hapa anachambua hadi Bashe anakalia moja
Kumbe walipiga pesa za kilimo za maendeleo,walizibadilishia matumizi,upigaji
Mfumo wa kufunga GPS ni kutafuta matumizi...
Habari wakuu, kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu bodi kutokufanya marejesho ya baadhi ya wanufaika ambao walikatwa fedha za ziada baada ya kumaliza mkopo, yani kama mtu alikuwa anadaiwa...
Katibu mkuu wa Bawacha mh CPA Ruge amemtaka Naibu wa Msajili wa vyama vya Siasa mh Sisty aache kutumika kuwaandikia "Love Letters"
CPA Ruge amesema hayo baada ya Sisty kuwaandikia Bawacha Barua...
Wakazi wanaofikia 644 wa eneo la Magomeni Kota jijini Dar es Salaam waligoma kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba za eneo hilo kwa madai kwamba bei pamoja na muda wa malipo uliopangwa haukuwa...
MHESHIMIWA RAIS SAMIA, KIUCHUMI SIO SAWA KWA ENEO LA LUGALO JESHINI KUBAKI VILE LILIVYO!
Utangulizi
Eneo la jeshi Lugalo lipo Jijini Dar- Es- Salaam, wilayani Kinondoni, pembezoni mwa barabara...
Waziri wa fedha mwigulu Nchemba akijibu hoja zilizoelekezwa kwenye wizara yake katika mjadala wa wizara ya kilimo amesema kuwa mbunge Luhanga Mpina akajifunza upya namna bajeti ya nchi yetu inavyo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-
Amemteua Prof. Elifas Tozo Bisanda kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya UNESCO ya Jamhuri ya...
Nimemsikia Mwita Mwikabe Waitara na alichokisema juu ya jaribio la mauaji dhidi
Sijashangazwa hata kidogo na maneno yake. Amerudi kwenye madhehebu yake ya zamani, lazima ajionyeshe ana msimamo...
Mwaka 2022/2023 Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, imewezesha uwekezaji wa shamba la kuzalisha kuku wazazi halisi (Grandparent Stock) lenye uwezo wa kufuga kuku 60,000 na kuzalisha mayai ya...
Rais wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Organ Troika, SADC Troika na Nchi...
Kiukweli Wabunge wa Mchongo wako kwenye Mateso makubwa Sana
Wengi hawarudi majimboni na kama kuna tatizo inakuwa Shida kumfatilia
Naomba CCM kunako 2025 makosa ya kuchukua namba 3 hadi 6...
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa sh. milioni 100 kwa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Kituo cha Hombolo, kuongeza uzalishaji wa mbegu bora za mazao kwa wakulima.
Akizungumza jijini hapa...
Hii nchi kuna mambo mengi ya ufisadi mwingi ambao unaendelea katika nchi hii ila watu wengi hawajui tu. Na hao mafisadi ndo alidili nao jpm kipindi cha uhai wake.
Wajinga wengi wakaona kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.