ONJO
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 215
- 261
Wanaharakati vita yetu si ya damu na nyama,bali ni ya kutumia maarifa na ufahamu.
Dua yangu
''Ee ulimwengu nifundishe niwe na maarifa,niendeleze akili yangu ili nipate hekima.''
Tanganyika ilipopata uhuru,viongozi wa kiislamu walikusanyika kwa nyerere kuona nafasi yao ndani ya serikali ni ipi!.Wakristo nao hasa Romani katoliki walimwendea nyerere kuona nafasi yao ndani ya serikali ni ipi!.Kwa wakati huo waislamu waliku wengi kuliko wakristo.
Rafiki zangu majibu ya nyerere yalikuwa hivi ''serikali yetu haina dini'' akitetea kiti chake bila kufahamu akauonyesha udini hadharani kwa kuapisha viongozi,kwa kumia misahafu.Zaidi kila mwanafunzi mtanzania akawa anaulizwa dini yake.Ikiwa ni mwislamu au ikiwa ni mkristo wanajaza kwenye taarifa zake.Mambo hayo yapo mpaka chuoni.Ukiingia kwenye halmashauri zao,katika idara ya utumishi na utawala.Maafisa utumishi wana mfumo unaoitwa TANGE(TAARIFA ZOTE ZA KILA MFANYAKAZI).Ndani ya taarifa hizo utajua kila dini ya mfanyakazi,mishahara yake na kadhalika.
Mambo yakiniendea vyema siku zijazo nitawapa source of information.
Alipowajibu hivyo kukatokea na mkanganyiko.Waislamu wakidai tumemsaidia kupata uhuru leo hii anatujibu hivi!Uadui ukaanza ikiwemo nyerere na bibi titi mohamed.
Wakati huo nyerere alishangaa kuona kila msafara wa mufiti mkuu unazungukwa na watu wengi kama mchanga wa bahari kuliko hata misafara yake.Alichokifanya akaanza kamata kamata ya viongozi maarufu na wenye ushawishi wa kiislamu,na kuwatupa gerezani.Waislamu wakaanza kuogopa na kuishiwa nguvu,pamoja na kasi ya ukuaji wake akafifia.Huku dola ya kikristo ikizidi kupanua mbawa zake kwenye sekta nyeti za serikali.Mfano askali mmoja kipindi cha nyerere alipata kusema ''mimi sijawahi kupanda cheo kwa sababu mimi ni mwislamu hadi nastaafu''.UDINI NI MBAYA SANA.
SERIKALI YETU IMEJENGWA KWA MISINGI YA ROMANI KATOLIKI.NI USHETANI.
Serikali yetu ilivyo ni matokeo ya dini ya Romani katoliki.
Ndani ya dini yao wana ''KATEKISIMU''
ambayo kila muumini hufaata mafundisho hayo ili kupata sakramenti ya ubatizo,komunio,kipaimara na kadhalika.
Mafundisho yake yanasema hivi ''kuna aina mbili za dhambi (dhambi kubwa na dhambi ndogo).Serikali yetu na yenyewe ikasema ''kuna kosa kubwa na kuna kosa dogo''.Hivyo kila mtu atahukumiwa kulingana na kosa alofanya kama ni kubwa (kunyongwa/adhabu ya maisha)kosa dogo mfano kubaka miaka 30.Waislamu nao wakaupokea mfumo huu kama ulivyo bila kufikiri.TUMEJIZIKA WENYEWE.
Wakatoliki hawafati mafundisho ya yesu kristo kwani alisema ''aliyesamehewa pa kubwa hupenda sana na aliyesamehewa kidogo hupenda kidogo''.Ila wao wakakiuka msingi huo badala yake wakaishauri serikali iweke adhabu kulingana na kosa.Kwa maneno ya yesu mwenyewe naelewa kuwa KOSA NI KOSA LIWE KUBWA LIWE DOGO.
Tena yesu akaendelea kusema ''ndugu yako akikosa msamehe saba mara sabini.Wakatoliki wakashindwa kumwelewa yesu ''wakaishauri serikali kuwe na msamaha wa raisi lakini wa mashariti''yaani raisi anamsamehe mtu aliyehukumiwa kunyongwa kwa kuibadilisha hukumu kwamba apewe adhabu ya maisha na watu wanashangilia ooyooo,nani katuroga?
Kwa misingi ya yesu nigependa kuishauri serikali kama ifaatavyo.
1.Kosa ni kosa liwe dogo liwe kubwa ni kosa.Inafaa adhabu itolewe moja tu kwa wakosaji.Najua ndani ya serikali yetu kila kiongozi huja kwa sarakasi yake hivyo naishauri serikali adhabu ya kosa lolote isizidi mwaka mmoja tukijali utu na thamani ya watu wetu.Adhabu ya kifungo cha maisha na kifungo viondolewe TUNAJIMALIZA WENYEWE NA KUDHALILISHA TAIFA LETU.Maana turning point ya mtu ipo wakati wowote kuliko kuteketeza maisha yote ya mtu kufanya kazi za kitumwa serikalini.
2.Serikali yetu isiamini kwamba kwa kutoa adhabu kali inaimarisha nidhamu na usalama wa raia hapana bali inatengeneza taifa lenye uoga usio na maana.Hakuna ambaye hajawahi kutenda kosa naomba serikali iwe na mtazamo wa kibinadamu.
3.Msamaha wa raisi ujikite katika kuweka huru wafungwa wote kama itashindwa kutekeleza adhabu ya aina moja kwa wafungwa wote,maana kwa mafundisho ya yesu kusamehe hakuna mwisho kwa kila mtu bila upendeleo.
4.Wanasheria mnaokaa viti vya mbele mjitathimi na mfikiri kama binadamu.Wala hatutishwi na phd zenu na uzoefu wenu wa sheria.Tunataka haki itendeke kwa kila mtanzania mshaurini raisi na kiti chake kitaimarika.
5.Anzeni kujenga tanzania isiyo na dini.Mpaka sasa watu wanajua waislamu bwana wakishika madaraka ni wastaarabu,tena utasikia wakristo bwana yakiongoza ni madikiteta.Hiyo hatutaki kusikia tena.
Last,if not you leaders to change this,truly am telling you the truths;that the sun,the moon and the truths are always there.Everything will pass the right one is coming.
Na ONJO mpenzi wenu.