Kasi ya Rais Samia yamuibua Hillary Clinton

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,507
3,074
Mke wa Rais wa zamani Marekani na Mgombea Urais wa Marekani mwaka 2016, Hillary Clinton, anafurahishwa na Kazi Kubwa inayofanywa na Rais Dkt. Samia Sulunu Hassan ya kuwaletea watanzania maendeleo.

Bi Hillary alitoa kaull hiyo Jijini Washington DC, wakati akizungumza na Mbunge wa Viti Maalumu anayewakilisha Asasi za Kiraia, Neema Lugangira, katika hafla maalumu ya chakula cha mchana, kabla ya kushiriki mkutano wa jopo la viongozi wanawake duniani.

Bi Hillary Clinton amefurahi sana juu ya mageuzi makubwa yanayofanywa na Rais Dk. Samia. "Jana nilialikwa katika hafla maalumu ya chakula cha mchana Mheshimiwa Hillary Clinton, nilipata fursa ya kutangaza kazi kubwa anayoifanya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Serikali nzima ya Awamu ya Sita"

Screenshot 2023-05-08 at 07.02.43.png
 
Neema anatafuta publicity tu, achana nae, Hillary Clinton hana impact kwetu muda wake umeisha, at the moment ni Joe Biden au Kamala Harris ndio wa kuongea
 
Of course Rais Dr.Samia amegeuka kuwa inspiring figure Kwa Wanawake Dunia nzima.

Congrats kwake Rais Samia kiasi kwamba Kila sehemu akienda amekuwa kivutia yaani akisema afanye ku attend Kila invitation atashindwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom