Mzee Wassira asiwemo kwenye Timu ya Katiba Mpya kwa sababu alishajiapiza bila serikali 2 hakuna Katiba Mpya

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,025
Akiwa kwenye mahojiano pale TBC pamoja na Zitto Kabwe yule mzee Wassira alishasema msimamo kwamba Bila Serikali 2 hakuna Katiba mpya.

Hivyo ni vema mzee Wassira na Watu wa aina yake wasiwemo kwenye Timu ya Katiba mpya vinginevyo watavuruga mchakato.

Maendeleo hayana Chama!
 
Kwani katiba mpya si inakusanya maoni ya wananchi? Wassira akiwa kama mwananchi, basi hilo ni moja ya maoni yake, sasa ubaya upo wapi? Maana maoni ya wengi tunaamini ndiyo yatashinda kama mjadala utakuwa huru.
 
Kama chadema watashupalia serkali 3 basi jua hakuna katiba mpya, trust me

USSR
mbona hata Sasa ni serikali 2,aseme serikali 1.na hata mm Kama ingekuwa kupigia kura ,Basi ningesema iwe serikali moja.haya ya serikali 2,ndo haya haya Kuna kuwa na malalamiko na bias .
 
Moja haiwezekani wazanzibari hawata kubali

USSR
 
Akiwa kwenye mahojiano pale TBC pamoja na Zitto Kabwe yule mzee Wassira alishasema msimamo kwamba Bila Serikali 2 hakuna Katiba mpya

Hivyo ni vema mzee Wassira na Watu wa aina yake wasiwemo kwenye Timu ya Katiba mpya vinginevyo watavuruga mchakato

Maendeleo hayana Chama!
Lisiwepo kabisa lile dude
 
Kama chadema watashupalia serkali 3 basi jua hakuna katiba mpya, trust me

USSR
Hata CCM kuna watu kibao wanataka serikali tatu...wakati wa tume ya warioba viongozi wengi wastaafu na walio madarakani waliohojiwa walikuwa wanataka serikali tatu
 
Kwani katiba mpya si inakusanya maoni ya wananchi? Wassira akiwa kama mwananchi, basi hilo ni moja ya maoni yake, sasa ubaya upo wapi? Maana maoni ya wengi tunaamini ndiyo yatashinda kama mjadala utakuwa huru.
Kukusanywa jambo lingine ,upitiwaji wa uchakatwaji wa maoni hayo hadi uandishi wenyewe nijambo lingine
 
Akiwa kwenye mahojiano pale TBC pamoja na Zitto Kabwe yule mzee Wassira alishasema msimamo kwamba Bila Serikali 2 hakuna Katiba mpya

Hivyo ni vema mzee Wassira na Watu wa aina yake wasiwemo kwenye Timu ya Katiba mpya vinginevyo watavuruga mchakato

Maendeleo hayana Chama!
Chadema hawatakiwi kuhangaika na mambo mengi ndani ya katiba mpya.

Muhimu Tume huru ya uchaguzi ni muhimu kuliko jambo lolote.
 
Kama chadema watashupalia serkali 3 basi jua hakuna katiba mpya, trust me

USSR
Siioni CCM kwenye hoja ya serikali tatu kabisa. Bibi anapenda ku compromise na vitu hata asivyoweza himili impact yake. Katiba mpya bila serikali 3 ni kupoteza rasilimali muda na fedha.
 
Akiwa kwenye mahojiano pale TBC pamoja na Zitto Kabwe yule mzee Wassira alishasema msimamo kwamba Bila Serikali 2 hakuna Katiba mpya

Hivyo ni vema mzee Wassira na Watu wa aina yake wasiwemo kwenye Timu ya Katiba mpya vinginevyo watavuruga mchakato

Maendeleo hayana Chama!
Tulia mzee ale hela za mwisho mwisho
 
Back
Top Bottom