Spika Tulia Ackson usimvimbishe kichwa Sugu

Hennes kolon

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
673
1,287
Hoja ya kuligawa Jimbo la mbeya yawe 2, ni uoga na kumvimbisha kichwa Sugu. Jimbo la Mbeya halina idadi ya wakazi wengi kihivyo kama ulivyoeleza, na ni dogo Sana ukilinganisha na majimbo mengine ya mikoa mingine, CCM ni chama kikubwa na kinachokubalika Jimbo la mbeya hivyo usimpe credit Sugu aone unatafuta away to escape him.

Acha Jimbo likae kama awali ,tumalize utata. Kati yako na Sugu, maana Yule mwanamziki wa kufokafoka anajigamba Sana eti unamkimbia kiaina.

CCM ni chama kikubwa, acha mtanange uamue nani ni nani 2025.
 
hoja ya kuligawa Jimbo la mbeya yawe 2 ,ni uoga na kumvimbisha kichwa sugu,Jimbo la mbeya halina idadi ya wakazi wengi kihivyo Kama ulivyoeleza,na ni dogo Sana ukilinganisha na majimbo mengine ya mikoa mingine .ccm ni chama kikubwa na kinachokubalika Jimbo la mbeya ,hivyo usimpe credit sugu aone unatafuta away to escape him.

Acha Jimbo likae kama awali ,tumalize utata ,Kati yako na sugu ,maana Yule mwanamziki wa kufokafoka anajigamba Sana ,eti unamkimbia kiaina.ccm NI chama kikubwa ,acha mtanange uamue ,Nani ni Done 2025!!
Sawa kabisa. Sugu hana lolote zaidi ya kuongea kama mhuni tu.
 
Mleta mada you have made the good use of sarcasm to fool madam speaker
 
hoja ya kuligawa Jimbo la mbeya yawe 2, ni uoga na kumvimbisha kichwa Sugu. Jimbo la mbeya halina idadi ya wakazi wengi kihivyo Kama ulivyoeleza, na ni dogo Sana ukilinganisha na majimbo mengine ya mikoa mingine, CCM ni chama kikubwa na kinachokubalika Jimbo la mbeya hivyo usimpe credit Sugu aone unatafuta away to escape him.

Acha Jimbo likae kama awali ,tumalize utata. Kati yako na Sugu, maana Yule mwanamziki wa kufokafoka anajigamba Sana eti unamkimbia kiaina.

CCM ni chama kikubwa, acha mtanange uamue nani ni nani 2025.
Mtalogana wenyewe , watu wanataka maendeleo Spika analeta Jogging na Mang'oma !
 
Back
Top Bottom