USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,133
- 28,707
Hawa wanawake sijui walisoma wapi baada ya vagalanti la magereza nilijua wamekua kiakili.
Baraza la wanawake wa Chadema limepanga kufanya maandamano kutaka wabunge 19 wa baraza hilo waondolewe bungeni wakati shauri liko mahakamani.
Hawa hawajui kuwa tunautawala wa sheria hapa Tanzania, jambo liko mahakamani kwa nini wasingojee hukumu,kuna maridhiano ya CCM na upinzani kelele za nini?
Jeshi la polisi hasa RPC kama mlivyofanya kwa NONDO na genge lake hawa wanawake watendeeni hivyo hivyo.