Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hoja ya kuligawa Jimbo la mbeya yawe 2, ni uoga na kumvimbisha kichwa Sugu. Jimbo la Mbeya halina idadi ya wakazi wengi kihivyo kama ulivyoeleza, na ni dogo Sana ukilinganisha na majimbo mengine...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Lema ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema aliwaonya Wananchi kuhusu Fedha wanazopeleka kwa manabii. Mchungaji Msigwa naye akasema Baadhi ya wachungajj hugeuza makanisa yao kuwa vitega Uchumi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tarehe 04 August 1962 kilitokea kifo tata cha muigizaji Mrembo kule Marekani, Marylin Monroe. Kifo hiki kilizua utata mno ila Majasusi wa FBI walijitahidi hadi Marehemu akazikwa na ikawa mwisho...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Wanaharakati vita yetu si ya damu na nyama,bali ni ya kutumia maarifa na ufahamu. Dua yangu ''Ee ulimwengu nifundishe niwe na maarifa,niendeleze akili yangu ili nipate hekima.'' Tanganyika...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel atakuwa mubashara kesho Jumatatu Mei 08, 2023 kwenye kituo cha Azam TV kueleza maboresho makubwa kwenye sekta ya Afya. Usikose kutazama UTV katika kipindi...
1 Reactions
4 Replies
769 Views
Akiwa kwenye mahojiano pale TBC pamoja na Zitto Kabwe yule mzee Wassira alishasema msimamo kwamba Bila Serikali 2 hakuna Katiba mpya. Hivyo ni vema mzee Wassira na Watu wa aina yake wasiwemo...
1 Reactions
13 Replies
867 Views
Hello wana jf, naomba kueleweshwa hapa; Ni kwanini tunasema Zanzibar ilifanya mapinduzi na sio ilijitafutia uhuru kama ilivyo kwa Tanganyika? Asante.
0 Reactions
2 Replies
356 Views
Hawa wanawake sijui walisoma wapi baada ya vagalanti la magereza nilijua wamekua kiakili. Baraza la wanawake wa Chadema limepanga kufanya maandamano kutaka wabunge 19 wa baraza hilo waondolewe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo nimeona kupitia youtube kuwa BAWACHA wanatarajia kufanya maandamano dhidi ya Mhe. Spika kuendelea kwa kuwakumbatia Wabunge batili wa CHADEMA 19. Binafsi kama raia mwema wa Tanzania na...
2 Reactions
0 Replies
571 Views
Leo tunafanya mapitio ya sura ya tatu ya kitabu hicho inayoitwa ‘The Dilemma of I am a State’, ambayo kwa tafsiri isiyo rasmi ni ‘Mtanziko wa 'Mimi Ndiye Dola'. Kitabu kinaianza sura hiyo kwa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Ingekuwa hapa wajuwaji wengi wangesema mambo haya yamepitwa na wakati
14 Reactions
91 Replies
7K Views
Awali ya yote nichukue nafasi hii kuipongeza Serikali kwa juhudi kubwa iliyofanywa kuondoa au kupunguza upendeleo katika nafasi za kazi serikalini kwa kuunda chombo kimoja kitakacho simamia ajira...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za Kivule na Bomba mbili hadi kwa Mkoremba watu wamevunjika migongo. Barabara chafu, hazina lami, zina mashimo, hivi unakwama wapi yaani nyie...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Makamu wa Rais Dr Mpango amesema Baadhi ya Mafisadi, Wala Rushwa na Wasioheshimu Taasisi ya Ndoa ni Waumini wa Dini ya Kikristo. Dr Mpango amewataka Viongozi wa Dini kutokaa kimya wakati Nchi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna wabunge ambao ni kama bado awajaamini kwamba niwabunge Hadi wawe wabunge. Nasema hivyo Kwa Sababu, unapokuwa na Spika WA Bunge ambaye ni mbunge anayewaza matamasha na mchakamchaka kuliko...
2 Reactions
14 Replies
810 Views
Imeandikwa katika gazeti la mzalendo: Kasi ya Rais Dk. Samia Suluhu kufanya mageuzi makubwa nchini inazidi kuleta neema kwa wananchi, safari hi Serikali imekuja na mpango wa kupanua huduma za...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Wanajamvi, Mbunge wa kawe mchungaji Joseph at Gwajima leo atakuwa na mkutano mkubwa wa maombezi kwenye viwanja vya mecco kunduchi. Mecco ni eneo lililopo kwenye mgogoro wa ardhi mkubwa .wananchi...
1 Reactions
6 Replies
713 Views
Tunawekana Sawa tu ndugu zetu Waislamu marehemu huzikwa mapema zaidi baada ya Kufa Hivyo Nusura Hassan mwanafunzi wa UDOM Kufa 3/5/2023 na Kuzikwa 4/5/2023 hakuhitaji mjadala Nimeona Wengi...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimesikia Zanzibar itajenga daraja kutoka kwao kuja Dar. Je, watawezaje ujenzi huo? Je, ni nini vyanzo vya mapato kwa serikali hiyo? Tanzania bara wanafaidika na nini na uwepo wa Zanzibar? Je...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kama Serikali ina nia ya dhati kufaulu kwenye usimamizi wa mazingira, Serikali haina budi kuanzisha kikosi cha jeshi la polisi mazingira. Suala la uchafuzi wa mazingira ni la saa 24 hivyo...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom