TAKWIMU mpya za IMF zinaonesha kuwa Pato la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 85.42 (Tsh trilioni 200) kwa mwaka huu wa 2023 ikiwa ni ishara kuwa sera za uchumi za Rais Samia Suluhu zinaleta mageuzi makubwa nchini
Kwa ukuaji huu ni dhahiri kuwa uchumi wa Tanzania sasa ni mkubwa kuliko baadhi ya nchi za Ulaya kama Croatia, Lithuniam Serbia na Slovenia, hatua ambayo imerejesha imani ya wawekezaji kuendelea kuwekeza nchini.
Sasa Tanzania inashika nafasi ya 6 kati ya nchi 10 za kusini mwa jangwa la Sahara zenye uchumi mkubwa zaidi Lakini pia kwa mujibu wa IMF uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kufikia Trilioni 318 ifikapo mwaka 2028
Sasa imagine tukifika na Rais Samia Suluhu hadi 2030 Tanzania tutaongoza kwa uchumi mkubwa afrika nzima