Chief alifanya mengi makubwa, mengine makubwa kwa ubaya na mengine makubwa kwa uzuri.
Kati ya hayo yote Chief aliapizwa na wabaya wake, kutokana na mwenendo wake, kuwa hakika atalamba sakafu...
Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake mkuu masuala ya usalama na mambo...
Mkurugenzi wa NEMC Samuel Gwamaka , amedai kwamba baada ya kudhibiti makelele kwenye maeneo ya Ulevi , sasa anaanza rasmi kampeni ya kudhibiti nyumba za ibada zinazopiga makelele .
Tunamtakia...
Kigwangallah: Nimepewa majina wabunge dawa za kulevya: Wamo CCM, Chadema
Mbunge wa Nzega (CCM), Dk. Khamis Kigwangallah, amesema amepokea majina ya wabunge, viongozi wa serikali na...
1. Tule tunywe tufurahi, la CAG limeisha bahari imetulia. Walioiba wanapanga miradi gani wawkeze, zizae maisha yaendelee wao na wanao wahusu.
2. Mama Amemaliza kila kitu kwa neno moja tu la stupid.
Membe alikuwa anapingana na maistream thought katika Chama. Alisema siyo sahihi kusema mtu akiwania urais katika Chama analeta factions katika Chama,na kama ukiiita 'faction' you do it for want...
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Tundu Lissu kutolewa ha Polisi cha Kati leo mchana, amefikishwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali na kupimwa...
Katika mkutano na waandishi Leo, rais Dr. Magufuli alitoa moja ya madudu yaliyofanyika awamu iliyopita kwamba kuna makaburi hawezi kuyafukua kwa sababu atashindwa kuyafukia.
Akasema kuna dola 20...
Nikikumbuka ile tabia yake ya kuwatoa kina Lukuvi na Kabudi wizarani na kuwapeleka ikulu, na jinsi ufisadi ulivyotamalaki kwa sasa naona connection ipo kwenye sababu ya kumpeleka Polepole Cuba...
Elva Johnson huyu ni waziri wa kazi za Sweden nchi inayoipatia Tanzania misaada ya mabilioni, hapa waziri huyu ametoka Bungeni kujibu maswali na kufanya kazi kisha anasubiria treni arudi kwake...
Kumbe hata CCM wenyewe wanajua kua chanzo cha Ushindi wao ni Uchaguzi kutokua Huru na wa Haki. Msikilizeni Polepole akithibitisha hili kwenye hii Video
Najua kuna Msiba, ila Kilio kilivyokua kwetu Kuna sherehe zilifanyika!
Ni kweli wazuri Hawafi.
Mhe. Polepole anawaonya wale wanaokwamisha maendeleo. Ilitafutwa Mbinu za kumnyamazisha lakini...
TANGU kutangazwa kifo cha Benard Kamilius Membe kumekuwa na hali ambayo sio ya kawaida kwenye mitandao ya kijamii ya JF, Twita, Instagram, Facebook na Youtube.
Swali langu kwa watanzania Membe...
Wenzetu Kenya Siasa zao huzifanyia Makanisani na Misibani tofauti na Sisi bongo
Uungwana wa Mbowe leo umemfanya apigwe picha kwa kila mtu aliyesimama naye kumsalimia pale Msibani
Uungwana ni...
Kwa mara ya kwanza kabisa nitashiriki katika kongamano la KATIBA MPYA hapa kwa dhumuni maalum lenye kutoa fursa ya mawazo mbadala nje ya rasimu ama ile ilopendekezwa ambayo muda sii mrefu mchakato...
Kiukweli hakuna kitu kimewauma wafuasi wa Hayati Magufuli kama ujio wa Kamala Harris, hawaamini walichokiona.
Haya ni mafanikio makubwa kwa Rais Samia na Wapinzani kuileta Marekani Tanzania na ni...
Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na...
Hili ni jambo ambalo nimejiuliza toka jana. Maana inaonekana Makamba hakumweka Membe kwenye ile list ya watu wema ambao hawatakiwi kufa.
Sasa nawaza ina maana Membe hakuwa na maelewano mazuri na...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amefika nyumbani kwa Bernard Membe ili kuhani Msiba , ambapo ametia saini kwenye Kitabu cha Wageni
Huku akiwa chini ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakatai wakati wa utiaji saini mikataba ya upelekaji huduma za mawasiliano nchini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa...