Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uzinduzi wa ikulu mpya Chamwino umefanyika leo ambapo viongozi mbalimbali wamehudhuria. Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Freeman Mbowe hakuhudhuria. Wakati uzinduzi unaendelea Mbowe...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimesoma moja ya post humu kwamba kwa mujibu wa CAG, Tanroads walikuwa na bakaa kwenye bajeti yao. Nimesikitika sana kwa kweli. Hali ilivyo mbaya sana tena sana kwenye jimbo la kibamba kwa...
8 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amepokea andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda kuwa mwenyeji wa AFCON mwaka 2027, kutoka kwa Rais wa TFF Wallace Karia...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Katika nchi yoyote, Ikulu is one of the most, if not the most secure premise. Maana hapo ndio ofisi za madaraka ya juu kabisa. Pamoja na kupongeza ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino, nimeshangazwa...
60 Reactions
158 Replies
10K Views
Miaka miwili iliyopita siku kama hizi hawa mabwana wawili Chamuriho na Ndugai waliutaka Urais kwa udi na Uvumba. Ndugai alikuwa ashajiandaa kabisa kuwa Rais na kukaa Ikulu Chamuriho naye...
25 Reactions
57 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri tarehe 24 Mei, 2023 ikiwa ni Kikao cha kwanza kufanyika kwenye Ofisi mpya ya Ikulu Chamwino...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
OFISI YA MKUU WA WILAYA KOROGWE PRESS CONFERENCE Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo Kesho Tarehe 25-05-2023 atakuwa na 'PRESS CONFERENCE ' MUDA: Saa 5 Asubuhi. MAHALI: OFISI YA MKUU...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama mwezi huu nilikwenda Bujumbura, nilipofika Manyovu nikashangaa hakuna mfumo wa uhamiaji kama ukipita uwanja wa ndege au Tunduma. Nikaangalia namna wale maafisa wanavyofanya kazi, nikajiuliza...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Subiri kwanza, bado mapema. Cyprian Musiba Majura Muingereza popote alipo anaweza akawa anachekelea kuwa Membe kafariki, hivyo amenusurika kulipa mabilioni aliyokuwa anadaiwa. Anajidanganya sana...
8 Reactions
36 Replies
4K Views
MBUNGE USSI PONDEZA - TUKIIMARISHA SUMA JKT & KIWANDA CHA NYUMBU WATAWEZA KUTENGENEZA AJIRA Mbunge wa Jimbo la Chumbuni, Mhe. Ussi Salum Pondeza akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na...
0 Reactions
0 Replies
698 Views
MBUNGE COSATO CHUMI - TUWAWEZESHE JKT HATUTAAGIZA TENA MAFUTA YA KUPIKIA Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini, Mhe. Cosato Chumi akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga...
0 Reactions
1 Replies
541 Views
JIMBO LA GANDO KUNUFAIKA NA VIFAA VYA MAJI SAFI NA SALAMA Mbunge wa Jimbo la Gando Mhe. Salim Mussa Omar amesema kwamba amemtuma Katibu wa Ofisi ya Mbunge Jimbo la Gando Ndugu Mshani Ali Kachinga...
0 Reactions
0 Replies
396 Views
Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Katika bajeti ya mwaka huu Serikali imetenge Shilingi bilioni 500 ambazo kupitia mradi wa Gridi Imara itajenga vituo vya kupooza umeme katika maeneo 13. nchini. "Kwenye maeneo yenye shida zaidi...
1 Reactions
2 Replies
521 Views
Naweka tu kumbukumbu Sawa maana wapo wanaodhani TRA iliasisiwa na Rais wa awamu ya 3 hayati Mkapa Kuna mambo mengi ya kijasiri yalifanywa na Serikali ya awamu ya 2 lakini yule mzee wetu Mwinyi...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Zamani wakati dola ya Rumi ni jamuhuri, walikuwa wanafanya uchaguzi kila mwaka. Kila mwaka walikuwa wanachagua viongozi(consulars) wawili kuwaongoza. Hawa walikuwa ni watu walioonyesha uwezo wa...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
"....Bawacha wengi wao pale ni vitoto vya juzi kwenye game ambavyo kwa namna vinavyopiga kelele wala sipaswi kuhangaika navyo kwa sababu natambua ngoma ya mtoto huwa kamwe haikeshi." Mheshimiwa...
9 Reactions
49 Replies
4K Views
Kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri unayofanya wizara ya kilimo. Mimi ni kati ya wachache niliyewahi kutoa maoni kuwa Upewe Wizara ya kilimo na Alhamdulilah Mh. Rais akakuona na ukapewa uwaziri...
2 Reactions
7 Replies
844 Views
Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Hai ikiongozwa na mkuu wa wilaya hiyo, Gellasius Byakanwa wamevamia shamba la mbunge wa jimbo hilo, Mh. Freeman Mbowe lililoko nyumbani kwake Machame na...
15 Reactions
477 Replies
62K Views
Hivi huyu ndugu yetu alipotelea wapi? Nimetafakari kama siku 4 nakuwa kama naota, naomba kukumbushwa kama lipo.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom