Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jumla ya Dola za Marekani 700,000 (sawa na Sh Bilioni 1.6) zimepatikana katika uzinduzi wa Harambee ya Kampeni ya GGML Kili Challenge iliyoongozwa na Rais mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa...
0 Reactions
1 Replies
756 Views
Sasa ukiongeza kodi ndiyo umebuni nini? Kuna ubunifu gani hapo? Badala ya kuumiza kichwa uchumi ukue ili uweze pata kodi ya kutosha wewe unaongeza kodi, ambayo nayo ni hatari kwa uchumi kukua...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Great thinkers, Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.
1 Reactions
77 Replies
6K Views
Jana mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo Martin Francis Massawe aka Martin Mbwana alisema kinachoendelea mgomo Kariakoo ni mambo ya Siasa. Mimi nikadhani labda ni Ule Uchochezi unaofanywa na...
12 Reactions
39 Replies
6K Views
".... Mapema January mwaka jana, mzee wangu Malecela alifika nyumbani kule Kongwa usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akinieleza ALIKUJA KAMA KAKA NA ANADHANI KESHO...
36 Reactions
121 Replies
13K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu amesema Tanzania ni nchi ya shida kila mahali. Lissu amesema "Ukiwa CHADEMA ni shida, ukiwa CCM ni shida hata ukiwa Askari polisi ni shida. Askari...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Hii natoa tahadhari kwa kiongozi yeyote wa Umma kuanzia ngazi ya juu hadi ya chini. Msiwachukulie poa watanzania....watanzania sio kabisa. Ni wavumilivu kweli, lakini uvumilivu una mwisho. Tuishi...
1 Reactions
3 Replies
667 Views
Tunaomba msaada kwa mwenye kufahamu anayeweza kutuwekea hapa sheria ya fedha za mfuko wa jimbo sura 96 ya mwaka 2006. Ninaona Halmashauri karibia zote hazijui sheria hiyo na fedha Za mfuko wa...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit)...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimetafakari sana juu ya uamuzi wa wananchi wa Tanga kuandaa kisomo maalum kwa ajili ya viongozi na watendaji serikalini walioguswa kwenye ripoti ya CAG. Mbali na watu wa Tanga kuamua kufanya dua...
0 Reactions
10 Replies
873 Views
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh, amesifu uamuzi aliouchukua mkulima Thomas Nkola, kuamua kufungua kesi mahakamani kushinikiza waliotajwa kuhusika na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MBUNGE JANETH MAHAWANGA AITAKA SERIKALI KUWEKEZA KWENYE MAJUKWAA YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Tisha Mama Foundation Mhe. Janeth...
0 Reactions
0 Replies
513 Views
Kwa Nini mkuu wa wilaya ya Urambo yupo kazini mpaka leo? Waziri wa Afya watu wako wanaua watoto.wetu mpaka leo unachunguza? Mkuu wa wilaya Alie ungana na wauaji anafanya Nini ofisini?hii ndio...
0 Reactions
3 Replies
484 Views
Jana ilikuwa siku ngumu kwa waziri wa Fedha Mhe Dr mwigulu nchemba kila mfanyabiashara wa Maduka kariakoo au kutoka mikoa mbalimbali tuhuma zilielekezwa kwa Dr mwigulu. Waziri mkuu alisimama...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
huyu jamaa na genge lake ni kati ya wanaosumbua wafanyabiashara kariakoo
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao Maalum na Watendaji mbalimbali wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiongozwa na Waziri wake Dkt. Mwigulu Nchemba...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwema Wakuu! Ndio nimeamka sasa hivi Hapa, nikaota na kuambiwa kuwa JPM alipambana na maadui Bandia huku akiwaacha Maadui halisi wakipeta. Ndoto hiyo ambayo nina uhakika nayo Kwa Asilimia Mia...
43 Reactions
65 Replies
7K Views
Kiukweli tangu juzi nafuatilia Operesheni +255 ya Chadema na sijabahatika kumsikia Mbowe au Tundu Lisu akililia Haki kwa George Sanga Chadema kama mnaweza kupigania akina Halima James Mdee...
0 Reactions
3 Replies
367 Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 29 leo Mei 19, 2023. Akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Back
Top Bottom