nyemenowa tindamanyile
Member
- Jan 28, 2022
- 42
- 44
Hivi huyu ndugu yetu alipotelea wapi? Nimetafakari kama siku 4 nakuwa kama naota, naomba kukumbushwa kama lipo.
Anaumwa Tuzidi kumwombea na VIPI NDUGAI yule SPIKA mbabe na yupo wapi?Hivi huyu ndugu yetu alipotelea wapi? Nimetafakari kama siku 4 nakuwa kama naota, naomba kukumbushwa kama lipo.
Itakuwa imeshafika hata miaka 10?!!Stroke bado imemlaza kitandani
Amina.Anaumwa Tuzidi kumwombea na VIPI NDUGAI yule SPIKA mbabe na yupo wapi?
Ni muda mrefu ila miaka 10 nadhani haijafikaItakuwa imeshafika hata miaka 10?!!
Tunamwombea uponyaji,miongoni mwa mwanasiasa za upinzani wa mwanzomwanzo TanzaniaStroke bado imemlaza kitandani
Jamaa kaulizia Mabere Marando na wewe unaanza oh vipi Ndugai sijui nini; upuuzi mtupu😂Anaumwa Tuzidi kumwombea na VIPI NDUGAI yule SPIKA mbabe na yupo wapi?