Mkuu wa Wilaya Jokate kesho atakuwa na press conference

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
OFISI YA MKUU WA WILAYA KOROGWE

PRESS CONFERENCE

Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo Kesho Tarehe 25-05-2023 atakuwa na 'PRESS CONFERENCE '

MUDA: Saa 5 Asubuhi.

MAHALI: OFISI YA MKUU WA WILAYA

IMG-20230524-WA0382(1).jpg
 
Hii ni conference muhimu, mtu ukiondoka na basi la kwanza, saa 4:00 uko Korogwe. Hii sio press conference ya kumiss
P
 
Huenda Anataka Kuujulisha Umma Wa Tanzania Kuwa Mtoto Wake Ameanza Kutembea
Elimu Ni Bure, Yule Kunambi Aliyeambiwa Na Jiwe Aoe Bila Shaka Anafanya Kama Dugange Kupindua V8
 
OFISI YA MKUU WA WILAYA KOROGWE

PRESS CONFERENCE

Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo Kesho Tarehe 25-05-2023 atakuwa na 'PRESS CONFERENCE '

MUDA: Saa 5 Asubuhi.

MAHALI: OFISI YA MKUU WA WILAYA

View attachment 2633755
Bwana JUMA JUMA,ungetupa na update ya safari ya Uingereza na Marekani kwa vijana wa Kawe aliyotuahidi GWAJIMA iwapo tutamchagua kuwa Mbunge maana ulikuwa chawa wake mkubwa humu JF kumpigia debe acha kujikausha,au umehamishia uchawa kwa Jokate enh?? ulikuwa na maneno mengi sana kumpamba GWAJIMA humu JF,vipi kafanikisha lipi??
 
Back
Top Bottom