TRA iliasisiwa na Rais wa awamu ya 2 Mzee Mwinyi!

Naweka tu kumbukumbu Sawa maana wapo wanaodhani TRA iliasisiwa na Rais wa awamu ya 3 hayati Mkapa

Kuna mambo mengi ya kijasiri yalifanywa na Serikali ya awamu ya 2 lakini yule mzee wetu Mwinyi siyo mpenda sifa

Wakati huo Nilikuwa mwanachama wa Chadema

Ahsante!
Pumbavu, does that mean there was no organ collecting taxes. This is a matter of naming , it has nothing to with any new invention of how to collect taxes efficiently. Mnataka kutukuza ujinga tuwaangalie tu. Hapana
 
Wewe acha uzembe wa kufikiria. Tumia akili zako sawa sawa.

TRA haikuwapo hadi ilipoanza makajukumu yake rasmi mnamo tarehe 1 mwezi July mwaka 1996. Sasa kitu documents zake za kuundwa zinasema kimeanza operation mwaka 1996 muda ambapo Mzee mwinyi alishastaafu.
 
Ok, Ila Kama ni suala la jina, Kabla jina liliitwa nini na aina zipi za kodi zilikusanywa?
 
Pumbavu, does that mean there was no organ collecting taxes. This is a matter of naming , it has nothing to with any new invention of how to collect taxes efficiently. Mnataka kutukuza ujinga tuwaangalie tu. Hapana
Hujui lolote
 
Wewe acha uzembe wa kufikiria. Tumia akili zako sawa sawa.

TRA haikuwapo hadi ilipoanza makajukumu yake rasmi mnamo tarehe 1 mwezi July mwaka 1996. Sasa kitu documents zake za kuundwa zinasema kimeanza operation mwaka 1996 muda ambapo Mzee mwinyi alishastaafu.
Unaelewa maana ya kuasisi lakini?
 
Naweka tu kumbukumbu Sawa maana wapo wanaodhani TRA iliasisiwa na Rais wa awamu ya 3 hayati Mkapa

Kuna mambo mengi ya kijasiri yalifanywa na Serikali ya awamu ya 2 lakini yule mzee wetu Mwinyi siyo mpenda sifa

Wakati huo Nilikuwa mwanachama wa Chadema

Ahsante!
MM
 
Naungana na wewe, waache mburura wakupinge. Kazi yote ya awali ya kutengeneza sheria, kanuni na mifumo ilifanyika wakati wa Ali Hassan Mwinyi. Na hiyo ndiyo kazi kubwa sawa na kusuka injini.

Mkapa yeye ali implement sheria iliyotengenezwa na Rais mtangulizi, yeye sawa na dreva wa gari tu. Sifa zimuendee Ali Hassan Mwinyi
 
Ni sawa na mwendokasi aliyeasisi na kuijenga ni Kikwete lakini imezinduliwa na kuanza kutumika wakati wa Magufuli.
 
Naweka tu kumbukumbu Sawa maana wapo wanaodhani TRA iliasisiwa na Rais wa awamu ya 3 hayati Mkapa

Kuna mambo mengi ya kijasiri yalifanywa na Serikali ya awamu ya 2 lakini yule mzee wetu Mwinyi siyo mpenda sifa

Wakati huo Nilikuwa mwanachama wa Chadema

Ahsante!
Ww kinachokusumbua ni udini Mwinyi alikuwa na akili hiyo Mwl wa shule ya Msingi somo KISWAHILI
 
Naweka tu kumbukumbu Sawa maana wapo wanaodhani TRA iliasisiwa na Rais wa awamu ya 3 hayati Mkapa

Kuna mambo mengi ya kijasiri yalifanywa na Serikali ya awamu ya 2 lakini yule mzee wetu Mwinyi siyo mpenda sifa

Wakati huo Nilikuwa mwanachama wa Chadema

Ahsante!
Ikiwemo kufuta ujinga wa ujamaa ambao yule shujaa wako asiyejielewa Alitaka kuurudisha
 
Naweka tu kumbukumbu Sawa maana wapo wanaodhani TRA iliasisiwa na Rais wa awamu ya 3 hayati Mkapa

Kuna mambo mengi ya kijasiri yalifanywa na Serikali ya awamu ya 2 lakini yule mzee wetu Mwinyi siyo mpenda sifa

Wakati huo Nilikuwa mwanachama wa Chadema

Ahsante!
Ndiyo ilikuwa awamu ya hovyo kuwahi kutokea, huyo mzee alipaswa anyongwe kwa uhalifu
 
Back
Top Bottom