Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii nimeikuta kwenye makala Moja ya waarabu wa Zanzibar inayozungumzia Uislamu na Haki Kumbe kuna vitu huesabiwa ni vikubwa katika Ulimwengu wa roho kuliko haya mambo ya Mwilini na tamaa zake...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Mtoto alipewa Kuku na Mama yake ili amfuge, na mtoto alimpenda sana Kuku wake, lakini mtoto huyu ndoto yake ni kua mwanasiasa mkubwa katika nchi yetu, siku Mbowe amefika Kigoma mtoto aliemwambia...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Je, ikulu ya Chamwino ni ya Tanzania, je ina maana Tanganyika imezikwa, au kama sivyo ikulu yake itajengwa wapi?
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mpina akiwasha tena Sh2 Trilioni za SGR ataka mkandarasi atimuliwe; Naibu Waziri amjibu
1 Reactions
7 Replies
980 Views
Wananchi wa Buhigwe Kigoma wamelalamika kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe kwamba Wanatozwa Tozo ya kibali cha Mazishi tsh 20,000. Kadhalika wakiwa na Sherehe za Kimila za kuwapa Zawadi maharusi au...
2 Reactions
5 Replies
791 Views
Kwa mujibu wa sheria kazi ya msingi ya jeshi la polisi ni kulinda raia na Mali zao, hii ni kazi inayohitaji wito Kama kua padri wa kirumi, inahitaji mtu muadilufu kama shehe wa kule makka...
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Katibu wa umoja wa vijana wa CCM Khenan Kihongosi amemuonya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza bwana Diallo kuwa aache upotoshaji mara moja, kitendo cha kusema baadhi ya viongozi waliopita...
15 Reactions
183 Replies
18K Views
Katibu mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi amemtaka Mbunge Humphrey Polepole awe na nidhamu na adabu katika serikali ya awamu ya 6 kama alivyofanya kwa serikali ya awamu ya 5. Hiyo ni baada ya...
28 Reactions
250 Replies
24K Views
Wote tunafahamu baadhi ya viongozi wamefikishwa kwenye vyombo vya sheria akiwemo JOHN PIMA aliyekuwa mkurugenzi wa jiji la Arusha, wito wangu ni kwamba wale wote walionufaika na mgao huo kupitia...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Usiku wakati tarehe 15 Mei 2023 ikielekea ukingoni Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu iliachia "PDF" ya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa ambapo wakuu wa mikoa minne waliguswa na mabadiliko...
4 Reactions
71 Replies
9K Views
Mimi nianze kwa kumpongeza mbuge wa nyamagana na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza bw adam malima kwa kusemea kwa nguvu kubwa ukamilishaji wa uwanja wa ndege wa mwanza, jengo la abiria na miundo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawasalimia wadau huku nikiwa nna gadhabu sana, kuna hizi ofisi Tatu nmebahatika kuzitembelea kwa vile nlikua nna shida huko wiki hii iliyoisha lakini nliyoyakuta nmegadhibika sana. 1. TRA...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari jamvini, Kama heading inavyojieleza,stendi ya Kijich itakuja kuwatia lawamani kama sio kitanzini. Barabara za Kijichi vibao vinaonesha mwisho ni 10t lakini cha ajabu yanaingia mabasi ya...
12 Reactions
40 Replies
4K Views
Ni kuwa ni bora Uchutame, Serikali nzima wanajua nini kilitokea kwenye kwenye Mfuko wa Kufa na Kuzikana,na pia ni nini kilitokea kwenye Mfuko wa Tuzo na Tozo!! Ni kuwa mpaka Mh.Rais anakuondoa...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara amelalamika kutukanwa " Mpumbavu na Mshenzi" na mkuu wa mkoa wa Mara mbele ya Waziri wa Ardhi mh Mabula Mwita Waitara amewaambia waandishi wa habari...
17 Reactions
117 Replies
12K Views
Kumekuwa na mfululizo wa mashambulizi makali ya maneno ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia na wasaidizi wake wa karibu dhidi ya mtangulizi wake marehemu Magufuli. Binafsi sifurahishwi nayo kwa kuwa...
32 Reactions
131 Replies
7K Views
Taarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe...
5 Reactions
62 Replies
4K Views
Serikali inaposhughurikia swala la wafanyabiashara kariakoo ingetufikiria na sisi wafanyakazi: tunaonewa sana kwa kweli. Mifano iko wazi: 1. Kwa mfano, daktari akilala zamu anapolipwa call...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom