Children of our future

Children of our future

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,597
Reaction score
858,095
Mtoto alipewa Kuku na Mama yake ili amfuge, na mtoto alimpenda sana Kuku wake, lakini mtoto huyu ndoto yake ni kua mwanasiasa mkubwa katika nchi yetu, siku Mbowe amefika Kigoma mtoto aliemwambia mama yake nataka nimpe Mbowe zawadi na nipige nae picha, mama akamuuliza mtoto unampa zawadi Gani mtoto akajibu nampa Kuku wangu ninae mpenda.

Mbowe baada ya kusimuliwa Stori hii alitimiza ndoto ya mtoto huyu na kuahidi kutimiza ndoto yake Mbowe alivua Skafu yake na kumvalisha mtoto huyu.
FB_IMG_1684846161812.jpg
FB_IMG_1684846166029.jpg
FB_IMG_1684846171119.jpg
 
Hapo penyewe unawezakuta yupo kwenye chain.........mtoto wa mkuu mshana[emoji1][emoji1][emoji1]
mtoto wa mkuu Mshana[emoji419][emoji375][emoji2827][emoji23]
 
Nilitamani mtoto apatiwe kitu kikubwa zaid ya hiyo scarf.
 
MUNGU akiamua kuwa MTU Fulani hakuna wa kuzuia ebu angalia mifano ya viongozi kama Nyerere,mwinyi ,mkapa, na magufuli..njia za MUNGU hazichunguziki yeye akisema NDIYO hizo chains zinakuja zenyewe tu
njia za MUNGU hazichunguziki yeye akisema NDIYO hizo chains zinakuja zenyewe tu[emoji419][emoji375]
 
Mtoto alipewa Kuku na Mama yake ili amfuge, na mtoto alimpenda sana Kuku wake, lakini mtoto huyu ndoto yake ni kua mwanasiasa mkubwa katika nchi yetu, siku Mbowe amefika Kigoma mtoto aliemwambia mama yake nataka nimpe Mbowe zawadi na nipige nae picha, mama akamuuliza mtoto unampa zawadi Gani mtoto akajibu nampa Kuku wangu ninae mpenda.

Mbowe baada ya kusimuliwa Stori hii alitimiza ndoto ya mtoto huyu na kuahidi kutimiza ndoto yake Mbowe alivua Skafu yake na kumvalisha mtoto huyu.View attachment 2632404View attachment 2632407View attachment 2632408
If we care about children they gonna have bright future
 
Back
Top Bottom