Uko msamiati miongoni mwa wanazuoni wa Kikoloni kuelezea mtu ambaye kwa juhudi na maarifa yake pekee, bila usaidizi wa mtu ama mifumo au jamii fulani ya watu, huweza kufanikisha ama kufanikiwa...
Dodoma/ Dar. Kufuatia kauli ya mbunge wa Makambako, Deo Sanga ya kuitaka Chadema kutosimamisha mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema...
Nimesoma kitabu cha "Will Propaganda Work in Modern World?" Mwandishi pamoja na mambo yote anasema, "moja ya sifa chanya na bora kwa kiongozi makini ni kujua watu wake wanahitaji nini kwa wakati...
MIAKA 20 YA MARANATHA DC JOKATE ASHIRIKI IBADA, AOMBA VIONGOZI WA DINI KUOMBEA SERIKALI.
Na Miko Luoga Tanga
Mkuu wa wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Jokate Mwegelo amewaomba viongozi wa dini na...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya vijana imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.88 kwa ajili ya kuwezesha miradi 85 ya vijana katika sekta za...
TANROADS NI BANDIKA BANDUA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU MOROGORO
Na Mwandishi Wetu Morogoro
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umetekeleza miradi mbalimbali ya...
Nimeangalia matangazo ya bunge kwa siku tatu mfululizo waheshimiwa wengi ambao ni wageni mjengoni, wamekuwa na katabia kama ka mashabiki wa mpira wa bongo wakiwa uwanja wa taifa wanavyofanya pindi...
Ebu kuweni makini huko serikalini watu wanajipakulia Nyama zote huku nyie mkiwa katika usingizi wa pono na mkiaminishwa kuwa ushoga ndo habari ya kufatilia hii ni spinning ili wao wajichotee Nyama...
BUPE MWAKANG'ATA - MASWALI NA MAJIBU BUNGENI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa na Mwanzilishi wa Bupe Foundation, Mhe. Bupe Mwakang'ata ameuliza swali Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambalo kwa...
Spika Tulia anataka kuwaletea ahueni watu wanaotiliwa mashaka na CAG Kichere ndiyo maana anasema mjadala (wa ripoti ya CAG) ufanyike Novemba.
Lakini kama CAG ameandika ile ripoti wale watu...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kuzisikiliza sauti za Watanzania kutoka mitaani, imeendelea kusikia maoni na uchambuzi wa watanzania kutoka vijiwe mbalimbali juu ya Uongozi Wa Rais Samia na...
Kwa ajili ya kuimarisha undugu wetu kama taifa watu wa karibu wa Cyprian Musiba na Bernard Membe waongee nao kuhusu haja ya kuwa na maridhiano.
Waandae mkutano wa pamoja wa waandishi wa habari...
Wadau hamjambo? Nadhani kupokea posho au mishahara ukiwa huna sifa za kazi yako ni wizi.
Ndio maana watumishi wa vyeti fake yaliwakumba na kufukuzwa kazi na ripoti ya CAG ilionesha kiasi gani cha...
Mbunge wa Kawe mh Gwajima amewapomgeza Vijana wa Mabwepande waliotembea kwa miguu Dar - Bukoba zaidi ya km 1300 kwa siku 35 tu
Askofu Gwajima amesema vijana hawa wa Jimbo la Kawe wamewazidi Wana...
Mbunge wa Gairo amesema Viongozi wa Serikal Wana mtindo wa kuajiri walimu na kuwapangia vijijini kisha wanatuma vimemo wahamishiwe Mjini
Shabiby amesema Utaratibu Huu siyo mzuri na ikibidi...
Wakuu Salam,
Hata kama nchi haina vipaumbele, hata umasikini wa watu wetu hatuuoni?
Katikati ya kutupa magari tunanunua megine...?
Kairuki kaomba mengine ya bil 16, magar 81.
Tizama video ya...
Siku moja baada ya mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA kuwakaribisha kwenye chama chake kipya waliofukuzwa CCM kwenye mkutano maalum, aliyekuwa mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba amesema amekua kwenye...
Bila shaka kila Mtanzania anajua madudu yanayofanyika na viongozi wengi katika Nchi hii.
Kuna mambo ya Rushwa, ufisadi, ubadhirifu wa fedha za umma, uzembe makazini, wizi wa mali za umma nk.
Kwa...