Posho na Mishahara ya Wabunge 19 waliofukuzwa uanachama nao ni wizi ambao CAG ulipaswa kuuzungumzia

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,074
Wadau hamjambo? Nadhani kupokea posho au mishahara ukiwa huna sifa za kazi yako ni wizi.

Ndio maana watumishi wa vyeti fake yaliwakumba na kufukuzwa kazi na ripoti ya CAG ilionesha kiasi gani cha fedha za umma zilipotea na kuokolewa baada ya kuwafukuza.

Nimeshangazwa na Ripoti ya CAG kutokuonyesha upotevu wa fedha za umma unaotokana na kuendelea kuwalipa mishahara na posho Wabunge 19 waliofukuzwa uanachama wao na chama chao na kupoteza sifa za kuwa Wabunge lakini mpaka leo wanalipwa posho na mishahara.

Binafsi sioni tofauti na hao wengine wanaolalamikiwa leo kuwa ni wezi wa mali za umma na kwamba watupishe.

Tufike mahali tuwe wakweli, Wabunge 19 ni wezi wa fedha za umma kama wezi wengine kwani wanalipwa pisho na mishahara wakati wao sio Wabunge halali, ni wabunge feki tunaotaka Katiba ya nchi iheshimiwe waondolewe Bungeni na washtakiwe kwa uhujumu uchumi.

1652427482224.jpg
 
Juzi, Mh Rais akipokea ripoti ya CAG na TAKUKURU, tulimuona akiwa mkali sana Kwa ubadhirifu na mashirika yasiyo perform .
Najiuliza he? Wake wabunge 19 walioko bungeni kinyume na katiba mbona ana walipa mishahara na pisho? Huu na ni upuuzi..
 
Hao wabunge wasikuumize kichwa,ni maridhiano hayo unayoyasikia,kwani umesikia viongozi wako wanaongelea kuhusu ripoti ya CAG?
 
Wadau hamjambo? Nadhani kupokea posho au mishahara ukiwa huna sifa za kazi yako ni wizi.

Ndio maana watumishi wa vyeti fake yaliwakumba na kufukuzwa kazi na ripoti ya CAG ilionesha kiasi gani cha fedha za umma zilipotea na kuokolewa baada ya kuwafukuza.

Nimeshangazwa na Ripoti ya CAG kutokuonyesha upotevu wa fedha za umma unaotokana na kuendelea kuwalipa mishahara na posho Wabunge 19 waliofukuzwa uanachama wao na chama chao na kupoteza sifa za kuwa Wabunge lakini mpaka leo wanalipwa posho na mishahara.

Binafsi sioni tofauti na hao wengine wanaolalamikiwa leo kuwa ni wezi wa mali za umma na kwamba watupishe.

Tufike mahali tuwe wakweli, Wabunge 19 ni wezi wa fedha za umma kama wezi wengine kwani wanalipwa pisho na mishahara wakati wao sio Wabunge halali, ni wabunge feki tunaotaka Katiba ya nchi iheshimiwe waondolewe Bungeni na washtakiwe kwa uhujumu uchumi.

View attachment 2571714
Wewe na Nyumbu wenzako wa Ufipa mbona mmekaa kimya kuhusu wizi ulioibuliwa? Malizeni kwanza hayo mliyoyasikia, hayo mengine ya Covid 19 yalishakuwa juu ya uwezo wenu!! NYUMBU
 
NCHI hii ina Viongozi wa Ajabu sana.Yaani SERIKALI badala ya Kuokoa FEDHA za Umma na kuzipeleka ENEO SAHIHI leo inatumia FEDHA za UMMA kuwalipa MISHAHARA na POSHO Wabunge 19 ambao inajua kuwa SIO Wabunge HALALI kwa Jinsi WALIVYOPATIKANA.
Nilitarajia SERIKALI baada ya CHADEMA Kuwafukuza na Kupoteza SIFA ya kuwa WABUNGE WANGEFUKUZWA BUNGENI ili KUOKOA FEDHA iliyokuwa INAWALIPA ili zikajenge hata ZAHANATI.
Kama ilikuwa ni LAZIMA kuwa na WABUNGE wa Chadema Serikali ingewataka CHADEMA WATEUE Wabunge wengine kwa Mujibu wa Sheria za TUME ya UCHAGUZI.
Ni AIBU kwa SERIKALI KUJITIA HASARA kwa MAKUSUDI huku ikiwa INAVUNJA KATIBA BADALA ya KUILINDA.Kwani KAZI ya SERIKALI ni pamoja na KUILINDA KATIBA ya NCHI SIO KUIVUNJA.
dr_cyrilo_1681575841474354.jpg
 
Nimeshangazwa na Ripoti ya CAG kutokuonyesha upotevu wa fedha za umma unaotokana na kuendelea kuwalipa mishahara na posho Wabunge 19 waliofukuzwa uanachama wao na chama chao na kupoteza sifa za kuwa Wabunge lakini mpaka leo wanalipwa posho na mishahara.
Hawa 19, bado ni wabunge halali kabisa wa Bunge la JMT kwasababu kufutwa kwao uanachama sio halali, Mahakama itatengua na wanaendelea na ubunge wao kihalali kabisa.

Tuliwashauri CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
P
 
Wadau hamjambo? Nadhani kupokea posho au mishahara ukiwa huna sifa za kazi yako ni wizi.

Ndio maana watumishi wa vyeti fake yaliwakumba na kufukuzwa kazi na ripoti ya CAG ilionesha kiasi gani cha fedha za umma zilipotea na kuokolewa baada ya kuwafukuza.

Nimeshangazwa na Ripoti ya CAG kutokuonyesha upotevu wa fedha za umma unaotokana na kuendelea kuwalipa mishahara na posho Wabunge 19 waliofukuzwa uanachama wao na chama chao na kupoteza sifa za kuwa Wabunge lakini mpaka leo wanalipwa posho na mishahara.

Binafsi sioni tofauti na hao wengine wanaolalamikiwa leo kuwa ni wezi wa mali za umma na kwamba watupishe.

Tufike mahali tuwe wakweli, Wabunge 19 ni wezi wa fedha za umma kama wezi wengine kwani wanalipwa pisho na mishahara wakati wao sio Wabunge halali, ni wabunge feki tunaotaka Katiba ya nchi iheshimiwe waondolewe Bungeni na washtakiwe kwa uhujumu uchumi.

View attachment 2571714
Chuki binafsi bila ushahidi huyo CAG si ana guts za kukagua na kugundua kama anavyotumwa kufanya ukaguzi wakati ukaguzi wa miaka husika ulishafanyika wakati JPM akiwa bado yupo na inafanyika hivyo isivyo bahati ila ni kwa maelekezo>
 
Back
Top Bottom