Licha ya kupoteza fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika nawaona wananchi wakiwa wamejifunza mambo mengi sana ambayo yatawapa faida kubwa msimu ujao.
Yanga ameonyesha ya kuwa mpira ni...
Habari,
Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa?
Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kimethibitisha kufariki dunia kwa mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya Sanaa katika Elimu, katika Ndaki ya Insia na Sayansi ya Jamii, NusuraHassan Abdallah ambaye tangu...
Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia Samia apite bila kupingwa, hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja.
Ni aibu kuhudhuria mkutano wa...
𝑴𝑮𝑶𝑴𝑶 𝑾𝑨 𝑲𝑨𝑹𝑰𝑨𝑲𝑶𝑶 𝑵𝑰 𝑴𝑨𝑻𝑶𝑲𝑬𝑶 𝒀𝑨 𝑼𝑲𝑰𝑴𝒀𝑨 𝑾𝑨 𝑹𝑨𝑰𝑺.
Ni miaka miwili imepita tangu Samia aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika miaka yake miwili tumeshuhudia Rais akiwa mzito wa...
Arejea katiba ya Muungano wa Tanzania kuhusu muundo wa Taifa. Arejea pia ufinyu wa Katiba ya Zanzibar katika kipengele cha katiba ya Zanzibar kinachotaja nchi. Aeleza wapi kwenye tatizo...
Wanadai hii haijaandikwa ila inanguvu sana kuliweka taifa pamoja na inalindwa na Baraza la usalama la kitaifa kuwa ni lazima utake usitake unaweza kuita top secret or classified code
Baada ya...
Katika Bara la Afrika lenye nchi 54, ni nchi chache tu, takriban nchi 10, ndizo zizsizokubali uraia pacha. Nchi hizo ni pamoja na Tanzania, Ethiopia na Congo D.R.C. Hata nchi jirani ambako baadhi...
Habari JF,
Ukiaachana na nguvu kubwa inatumika kuonesha umma kwa Hayati Magufuli hakufanya kitu huku vitu vinaonekana na tuhuma nzito ambazo hazina ushahidi bado haiwezi ondoa ukweli kwamba hawa...
MHE. ZAYTUN SWAI ASISITIZA KUACHANA NA UTALII WA KIMAZOEA, TWENDE NA UTALII WA KIMKAKATI
"Sekta ya Maliasili na Utalii ni ya muhimu sana kwa kutuingizia fedha za kigeni, tumeona zaidi ya...
Jana niliona kwmba kwa miezi 10 TANAPA wamekusanya billion 291 maana yake kwa mwaka wanaweza kusanya billion 300 hivi.
Wakati huo huo TBL pesa inayo enda Serikalini ni zaidi ya Billion 400+...
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu Nchemba PhD amewaagiza Wataalamu wa Wizara yake kukaa na Ujumbe wa IMF wajadili Athari za Upungufu wa US Dollar kwenye Uchumi wa nchi.
Dr Mwigullu amewataka Wataalamu...
Nimepitia katiba ya nchi yetu Katiba ambayo hata Rais anapochaguliwa lazima aiape kwanza ndio awe Rais na pia aseme atailinda ataihifadhi na kuiheshimu.
Pia Katiba hiyo hiyo imeeleza Spika...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb) akibofya batani ili kucheza Filamu ya The Royal Tour kwenye Basi la abiria la Kampuni ya Classic ikiwa ni ishara...
Kashfa kubwa ya rushwa Bunge la Tulia Ackson
January Makamba ameandika historia.
Kiwango cha hii rushwa hakijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru.
Akiwa mtoa rushwa mkuu, January Makamba...
Mwenye taarifa sahihi anijuze!
Wakati wa utawala wa Dr. Kikwete, tulikuwa na KILIMO KWANZA na BIG RESULTS NOW!
Alipoingia hayati Dr. Magufuli, kukazaliwa TANZANIA YA VIWANDA!
Kabla ya KILIMO...
Habari JF,
Nchi kuanzia mwaka 2015 ilianza kupitia mabadiliko makubwa sana ya kimipango na kimiradi, madilikohaya yameletwa na watu wawili ambapo by 2030 kuna uwezekano mkubwa baadhi ya matatizo...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, tarehe 27 Mei, 2023 wamepata nafasi ya kujifunza kuhusu nishati safi ya kupikia pamoja na kupitishwa kwenye Rasimu ya Dira ya Taifa ya...
Zamani kabla mifumo ya fedha kuimarika watu wakikuwa wakisafiri na mamilioni ya pesa wakija Dar kununua chochote au kuuza chochote
Sasa hivi watu husafiri tu na hela ya kula njiani tu pesa zote...
January Makamba amepeleka wapi mabilioni ya pesa za ruzuku ya mafuta? Amchonganisha Rais na wananchi
Rais Samia Suluhu Hassan alimuagiza Waziri wa Nishati, January Makamba, kuweka ruzuku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.