Sijawahi kuona wabunge washamba wa kamera kama awamu hii

Lugoda lwa chuma

Senior Member
Mar 21, 2023
179
338
Nimeangalia matangazo ya bunge kwa siku tatu mfululizo waheshimiwa wengi ambao ni wageni mjengoni, wamekuwa na katabia kama ka mashabiki wa mpira wa bongo wakiwa uwanja wa taifa wanavyofanya pindi camera ikiwazoom kwenye tv la pale uwanjani nadhani mwafahamu wanavyo fanyaga.

Kituko hiki nimekishangaa mjengoni! Yani Mhe. akijiona kwenye lile TV anawastua hadi alionao jirani na wote unawona wanajichekesha kwenye camera! Duh ushamba gani huu!

Mbaya zaid kuna hadi waheshmiwa wazoefu nao wamesha haribiwa na ma new comer, kuna mh mmoja alikuaga waziri enzi za shujaa anapenda kukaa backbench pale mjengoni, nae jana nimeshangaa baada ya kujiona akamshtua hadi mmama mmoja hivi asogee akae pembeni yake mana kiti cha kati kilikua wazi ilimradi wote wakenuze meno kwenye camera na miwani yake.

Kweli kila zama na vituko vipya.
 
Niliwahi kusema moja ya tatizo kubwa sana nchi hii ni wanasiasa na serikali kwa ujumla kutaka kuwa maarufu sawa au kuwazidi wasanii na watu wasio na vyeo. Ni tatizo linaloathiri utendaji na ufanyaji maamuzi yenye tija nchi hii.

Nchi hii uwe na kitu cha kukufikisha mbali na upate umaarufu halafu usiwe "mtu wao" utapata shida sana.

Na chanzo cha tatizo hili ni ushamba kama ambavyo mleta mada umeshuhudia.
 
Ni kweli kabisa mkuu, yani hadi kuna mda najiulizaga hivi jiwe alizitoa wapi sampuli za watu wale!
 
Nimeangalia matangazo ya bunge kwa siku tatu mfululizo waheshimiwa wengi ambao ni wageni mjengoni, wamekuwa na katabia kama ka mashabiki wa mpira wa bongo wakiwa uwanja wa taifa wanavyofanya pindi camera ikiwazoom kwenye tv la pale uwanjani nadhani mwafahamu wanavyo fanyaga.

Kituko hiki nimekishangaa mjengoni! Yani Mhe. akijiona kwenye lile TV anawastua hadi alionao jirani na wote unawona wanajichekesha kwenye camera! Duh ushamba gani huu!

Mbaya zaid kuna hadi waheshmiwa wazoefu nao wamesha haribiwa na ma new comer, kuna mh mmoja alikuaga waziri enzi za shujaa anapenda kukaa backbench pale mjengoni, nae jana nimeshangaa baada ya kujiona akamshtua hadi mmama mmoja hivi asogee akae pembeni yake mana kiti cha kati kilikua wazi ilimradi wote wakenuze meno kwenye camera na miwani yake.

Kweli kila zama na vituko vipya.
Mkuu hoja madhubuti hawana,Camera pia washindwe?
 
Wafanye nini zaidi wakati ndipo uwezo wao unapoishia?
 
Back
Top Bottom